Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
Lakini sio wote ambao akili zao ni pungufu, maana Jf ninaoijua Mimi tangu 2009 nipo humu huwa ina majibu mazuri isipokuwa kwa wajinga wachache wasiojielewaWalikokupa hiyo hati nadhani wana majibu yakinifu ungewaulize huko huko ila humu usimaindi tu kwa majibu utakayopewa.
Shukurani mkuuHaina free entry kwa nchi nyingi Ulaya, kuna vaadhi ya sehemu wabeba unga hasa wa mataifa mengine wameichafua sana hii hati kiasi kwamba ukionekana tu mtanzania wanakushuku na unga.
Hizi electronic passport huenda zikarudisha image yetu nzuri.
Nchi za SADC, EAC, Georgia (ulaya mashariki), Jamaica wataongezea zingine wadauHabarini wakuu, naomba mtutoe tongo tongo hapa, Hati ya kusafiria ya Tanzania unaweza kuingia nchi ngapi bila visa na ni vema pia mwenye kujua hili akazitaja hata nchi zenyewe pia
Hatari sana mkuuRwanda, Burundi, Sudan Kusini, DRC, Kenya, Uganda.
Kwa kifupi nchi zote MASKINI na ZENYE VITA unaingia bila shida.
ThanksNchi za SADC, EAC, Georgia (ulaya mashariki), Jamaica wataongezea zingine wadau
Heshima kwako mkuu✌️✌️✌️✍️✍️Tanzania Passport Dashboard | Passport Index 2024
Discover all visa requirements and real-time passport ranking of Tanzania. Passport Index is the leading global mobility intelligence platform providing guidance on the right of travel.www.passportindex.org
Ukishakua mtanznia unaingia tu hivyo hivyo bila maelezo yoyote?Rwanda, Burundi, Sudan Kusini, DRC, Kenya, Uganda.
Kwa kifupi nchi zote MASKINI na ZENYE VITA unaingia bila shida.
😀😀😀😀😀😀Rwanda, Burundi, Sudan Kusini, DRC, Kenya, Uganda.
Kwa kifupi nchi zote MASKINI na ZENYE VITA unaingia bila shida.
HahahahaRwanda, Burundi, Sudan Kusini, DRC, Kenya, Uganda.
Kwa kifupi nchi zote MASKINI na ZENYE VITA unaingia bila shida.