Watanganyika mna shida sana. Sisi tunajivunia Uzanzibari wetu.Kutoka Kwa Zitto Kabwe,
Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano.
Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya?
Ili muungano ueleweke Kwa wananchi ccm hakikisheni mnafuata makubaliano yaliopo kwenye hati ya Muungano.
Duh 🙄 !Mwenye hati ya muungano anisaidie.View attachment 2987680
HonestlyKutoka Kwa Zitto Kabwe,
Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano.
Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya?
Ili muungano ueleweke Kwa wananchi ccm hakikisheni mnafuata makubaliano yaliopo kwenye hati ya Muungano.
Hamna mamlaka kamili hivyo tusaidiane kupambania serikali tatu ili zanzibar ijikomboe kwenye makucha ya Tanganyika iliyojivika jina la Tanzania bara. Tukishinda kwa pamoja, Tanganyika itaonekana na zanzibar huru yenye mamlaka kamili na uwezo wa kukopesha na pia sisi wa michezo FIFA kuitambua zanzibar tofauti na sasa ambapo ulaya ya kimpira ya wachezaji wa zanzibar ni Tanganyika.Watanganyika mna shida sana. Sisi tunajivunia Uzanzibari wetu.
Ccm wameficha hati halisi ya muunganoWapi alipotamka Zitto Kabwe? Mwenye hati ya Muungano atusaidie kuweka hapa. CCM wanasema nini kuhusu madai haya?
Nusu Degree 😂Ccm wameficha hati halisi ya muungano
Waliteta hati feki kwenye bunge la katiba bila Saini ya nyerere
Safi Tanzania irndelee kuwa muungano ndani yake kuwe na serikali ya Tanganyika na zenjiHamna mamlaka kamili hivyo tusaidiane kupambania serikali tatu ili zanzibar ijikomboe kwenye makucha ya Tanganyika iliyojivika jina la Tanzania bara. Tukishinda kwa pamoja, Tanganyika itaonekana na zanzibar huru yenye mamlaka kamili na uwezo wa kukopesha na pia sisi wa michezo FIFA kuitambua zanzibar tofauti na sasa ambapo ulaya ya kimpira ya wachezaji wa zanzibar ni Tanganyika.