Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 306
- 165
Ni hatua nzuri. Lakini mimi nashangaa inakuwaje mpaka leo mabaraza ya ardhi yanapindisha kesi za ardhi? Mimi juzi hapa nimedhulumiwa kiwanja changu ambacho kina hati kabisa ya miaka 33. Mwenyekiti wa baraza la ardhi amekula rushwa waziwazi akapindisha Kesi kwa kushirikiana na viongozi wa taa.View attachment 3659429
HATI ZA KIMILA: MKOMBOZI WA WANANCHI WA MELELA NA MIKESE MKOANI MOROGORO
Wananchi wa Vijiji vya Melela na Mikese mkoani Morogoro wameeleza furaha yao baada ya kupata Hati za Kimila, hatua inayowawezesha kutambuliwa kisheria na kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi.
Akizungumza katika mahojiano maalumu yaliyofanyika Agosti 28, 2026, katika Banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi lililopo Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro, Mwenyekiti wa Kijiji cha Mikese Mjini, Kata ya Mikese, Bw. Mohammed Kalungwana, pamoja na Bw. Alfred Mudugwa kutoka Kijiji cha Melela, wamesema Hati za Kimila ni mkombozi kwa wananchi, kwani zinawapa uhakika wa umiliki wa ardhi na kuwawezesha kutumia ardhi yao kama nyenzo ya kiuchumi.
Wamesema kuwa hati hizo pia zinawawezesha wananchi kuomba mikopo katika taasisi za fedha, kupunguza migogoro ya ardhi na kuongeza thamani ya ardhi, hivyo kuchochea maendeleo ya familia na jamii kwa ujumla.
Hati ya Kimila – Ulinzi wa Ardhi, Amani na Maendeleo.
Aridhi ya Tanzania ni Mali ya RaisNauliza tu ardhi ya Tanzania ni mali ya wananchi au ni mali ya serikali kuu ya Tanzania.
Duh kama ni hivyo migogoro ya ardhi haitaisha milele.Aridhi ya Tanzania ni Mali ya Rais
Pole sana kwa changamoto, Nitumie Inbox Wilaya unayotokea na mawasiliano yako ,TafadhaliNi hatua nzuri. Lakini mimi nashangaa inakuwaje mpaka leo mabaraza ya ardhi yanapindisha kesi za ardhi? Mimi juzi hapa nimedhulumiwa kiwanja changu ambacho kina hati kabisa ya miaka 33. Mwenyekiti wa baraza la ardhi amekula rushwa waziwazi akapindisha Kesi kwa kushirikiana na viongozi wa taa.
Bado nashangaa inakuwaje mwenye hati ya ardhi anashindwa kesi na mtu mwenye maneno tu hata vielelezo hana? Wizara mnisaidie kwenye hili.
Labda unielekeze tu kiongozi kama kweli hati inaweza kufutwa kirahisi hivyo. Je, kama hukumu ilishatoka hapo tunafanyaje? Kama utanielwza kwamba hukumu inaweza kufutwa nifunge safari kuja wizarani. Mpaka lei aliyepeiwa ushindi ameshindwa kufuta hiyo hati maana bado inasoma jina langu na madai ya ardhi bado yanakuwa kwangu.Pole sana kwa changamoto, Nitumie Inbox Wilaya unayotokea na mawasiliano yako ,Tafadhali
Maelezo ni Marefu Mkuu Ndiyo maana nahitaji tuongee , kuna vitu pia nikuulize. Tuone pakuanzia nitumie Mawasiliano yakoLabda unielekeze tu kiongozi kama kweli hati inaweza kufutwa kirahisi hivyo. Je, kama hukumu ilishatoka hapo tunafanyaje? Kama utanielwza kwamba hukumu inaweza kufutwa nifunge safari kuja wizarani. Mpaka lei aliyepeiwa ushindi ameshindwa kufuta hiyo hati maana bado inasoma jina langu na madai ya ardhi bado yanakuwa kwangu.
Kama utaniruhusu, itabidi tuwasiliane kwa PMMaelezo ni Marefu Mkuu Ndiyo maana nahitaji tuongee , kuna vitu pia nikuulize. Tuone pakuanzia nitumie Mawasiliano yako
Nenda mahakamani, uamuzi wa baraza la ardhi sio wa mwishoNi hatua nzuri. Lakini mimi nashangaa inakuwaje mpaka leo mabaraza ya ardhi yanapindisha kesi za ardhi? Mimi juzi hapa nimedhulumiwa kiwanja changu ambacho kina hati kabisa ya miaka 33. Mwenyekiti wa baraza la ardhi amekula rushwa waziwazi akapindisha Kesi kwa kushirikiana na viongozi wa taa.
Bado nashangaa inakuwaje mwenye hati ya ardhi anashindwa kesi na mtu mwenye maneno tu hata vielelezo hana? Wizara mnisaidie kwenye hili.
Weka hapa kwa faida ya wote, wengi wana same issue inawasumbuaMaelezo ni Marefu Mkuu Ndiyo maana nahitaji tuongee , kuna vitu pia nikuulize. Tuone pakuanzia nitumie Mawasiliano yako
Mahakama mkuu ndizo hizo zinakula rushwa. Kwa vile msindani wangu alikuwa mwarabu sikupata haki niliyoitegemea. Tulikata rufaa mahakama kuu nako hakimu akazitupa sababu zetu, tukakata rufaa mahakama ya rufaa, huyu wa mahakama kuu akazuia nakala ya hukumu mpaka muda wa kukata rufaa ukapita. Ni taabu tupuNenda mahakamani, uamuzi wa baraza la ardhi sio wa mwisho
Duh pole sana, nchi imeozaMahakama mkuu ndizo hizo zinakula rushwa. Kwa vile msindani wangu alikuwa mwarabu sikupata haki niliyoitegemea. Tulikata rufaa mahakama kuu nako hakimu akazitupa sababu zetu, tukakata rufaa mahakama ya rufaa, huyu wa mahakama kuu akazuia nakala ya hukumu mpaka muda wa kukata rufaa ukapita. Ni taabu tupu
Kwenye channel yetu ya YouTube tumeweka Elimu kwa umma juu ya mambo mengi kuhusu Ardhi tembeleaWeka hapa kwa faida ya wote, wengi wana same issue inawasumbua