Hatia 4 - Dizasta vina ni best story teller tangu hiphop ya bongo ianze mpaka sasa

iwe story nzuri au mbaya mi nadata na flow tuu. so kuna watu wanaongea juu ya midundo na kunawanaoRap juu ya midundo. Mi shabiki wa Rap hasa ikiwa na story ndani yake
 
yupo vizuri ajawaii kukosea kwenye ngoma zake
ila wasioelewa hip hop watapata tabu kumuelewa
 
Rudi kwa p the Mc ,skilizia ngoma kama Huna jipya, .mama mjane,...P anauwezo wa kustick Kwenye mada husika mwanzo mwisho ....Ukija kwa stereo ngoma kafanya na grace matata jina nimesahau
Kwa mtazamo wangu naona P huwa anakua na stori kali tu, lakini hana maajabu kwenye usimuliaji. Kawaida mnoo!
 
Kwa mtazamo wangu naona P huwa anakua na stori kali tu, lakini hana maajabu kwenye usimuliaji. Kawaida mnoo!
Wte hao akina p the mc na stereo wana stereo kali ila usimuliaji sio kivile labda wana flows nzuri ya kurhym juu ya beat kuliko dizasta ila kwnye ubunifu wa content ielezweje dizasta mwisho anajua kupangalia maneno lipi lianze lipi limalize
 
Haki ya mama nasema ukweli uongo Sibongile,
Tokea ununue simu msosi Boko sikosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…