Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mbeya boy hana maajabu saana ila mjanja mjanja, vipo vichwa kina nala, t breaker, hamis mistari na dogo mmoja hivi nimemsahau jina ana flow hadi kichinaNa pia Shaulin na mbeya boy chuma getho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya boy hana maajabu saana ila mjanja mjanja, vipo vichwa kina nala, t breaker, hamis mistari na dogo mmoja hivi nimemsahau jina ana flow hadi kichinaNa pia Shaulin na mbeya boy chuma getho
Hutaipata bila kununua albumNgoja niitafute
Hutaipata bila kununua album
Ngoma haiko public
Dizasta ni Mc wa kawaida sana ...Namfahamu vizuri sana tangu enzi anasoma IFM na kukaa kigamboni ... Kwenye story Dizasta hamfikii P the Mc wala stereo
Nobody is safe 2 & 3
Humo dizasta ameua sana, huyu jamaa sio mtu mzuri kabisa
Punchline ndio base line ya hiphopHzi zte ni punchlines hazina maana kivile ukilinganisha na consciousness za kwenye hatia 1-IV
Punchline ndio base line ya hiphop
Hizo hatia zote unawai kuzichoka, punchline zitakaa sana
Rudi kwa p the Mc ,skilizia ngoma kama Huna jipya, .mama mjane,...P anauwezo wa kustick Kwenye mada husika mwanzo mwisho ....Ukija kwa stereo ngoma kafanya na grace matata jina nimesahauWw kukaa nae au kumjua physically haifanyi sisi kushindwa kuelewa anacho deliver kwa jamii
Tuanze na stereo
Hyu mojawapo wa watu wangu wa hip hop niliyemkubaligi sana since yuko lunduno na akina shashow, mbishi na bunny mc
Na anajua vizuri tu kwnye masuala ya huu utamaduni wa hip hop
Anajua story kuelezea sikatai ila uje compare na dizasta hapana nakataa
Kwnye album yke ya "The african son" stereo mule kajitahidi sifikiri kma kuna hta ngoma zaidi ya 8 unaweza compare na album ya "The verteller"
Kuanzia ushairi, content, aina za maneno, ubunifu wa story
Dizasta kaua sanaaaaaaa
Kwanza ile intro tu ya album ya The verteller ni sumu sana
Tuache masikhara dogo anajua kuchora mistari na kadri unavyozid kumsikiliza ndo unapata hamu ya kutaka kujua nini mbele anasema
Hyo p the mc anajua ila nae sio level ya dizasta.
Apewe tu heshima yake kwenye hicho kipengele aiseeeeeeeeeeeeeeeee.
Muelekeze huyo ... Kwanza anaonekana Hana sikio la Hip-hop huku anajilazimisha tuu ndo maana anaforce eti Dizasta ni mkali ...Dizasta Kwenye story telling hamfikii hata Ghetto ambassadorPunchline ndio base line ya hiphop
Hizo hatia zote unawai kuzichoka, punchline zitakaa sana
Rudi kwa p the Mc ,skilizia ngoma kama Huna jipya, .mama mjane,...P anauwezo wa kustick Kwenye mada husika mwanzo mwisho ....Ukija kwa stereo ngoma kafanya na grace matata jina nimesahau
Muelekeze huyo ... Kwanza anaonekana Hana sikio la Hip-hop huku anajilazimisha tuu ndo maana anaforce eti Dizasta ni mkali ...Dizasta Kwenye story telling hamfikii hata Ghetto ambassador
Yan pale Tamaduni kuanzia
Nikki mbishi
Stereo
One the incredible
Songa
P the Mc
Zaiid
Ghetto ambassador
Kad go
Nash Mc
Azma
Dizasta hamfikii hata mmoja hapo iwe kwa punchline ,Ku stick Kwenye mada husika , Story telling
Hana ujanja wowote kwa hao manguli. [emoji115]
Punchline ndio base line ya hiphop
Hizo hatia zote unawai kuzichoka, punchline zitakaa sana
Iaitwa rafikiRudi kwa p the Mc ,skilizia ngoma kama Huna jipya, .mama mjane,...P anauwezo wa kustick Kwenye mada husika mwanzo mwisho ....Ukija kwa stereo ngoma kafanya na grace matata jina nimesahau
Kuna manzi tulizingua kisa hatia 2,Ni wimbo ambao ukisikiliza na dem wako unaweza ukaachwa [emoji23]. Mi naielewa zaidi hatia 1.
Kwa upande wangu.story teller mc nchi hii ni p the mc na dizasta, hawa wakimbia kitu kina nyooka na ufundi mwingi unaokufanya usichoke kusikiliza.Rudi kwa p the Mc ,skilizia ngoma kama Huna jipya, .mama mjane,...P anauwezo wa kustick Kwenye mada husika mwanzo mwisho ....Ukija kwa stereo ngoma kafanya na grace matata jina nimesahau
Kwa upande wangu.story teller mc nchi hii ni p the mc na dizasta, hawa wakimbia kitu kina nyooka na ufundi mwingi unaokufanya usichoke kusikiliza.
Mc wapo wengi wazuri kwa story ila kwangu mimi hao ndo the best.
Nikianza na p the mc....ila hii hatia 4 na hatia 3 hizi kitu ni kali sana
Kwakua ni mtazamo wako sawa,ila dizasta ni habari nyingine kwa storry tellerMuelekeze huyo ... Kwanza anaonekana Hana sikio la Hip-hop huku anajilazimisha tuu ndo maana anaforce eti Dizasta ni mkali ...Dizasta Kwenye story telling hamfikii hata Ghetto ambassador
Yan pale Tamaduni kuanzia
Nikki mbishi
Stereo
One the incredible
Songa
P the Mc
Zaiid
Ghetto ambassador
Kad go
Nash Mc
Azma
Dizasta hamfikii hata mmoja hapo iwe kwa punchline ,Ku stick Kwenye mada husika , Story telling
Hana ujanja wowote kwa hao manguli. [emoji115]
Ameshindwa tu kuelewa kuhusu hicho kipengele, nikki, one, p the mc, nash overall wanamzidi dizasta ila kwnye storry telling jamaa anawapiku vizur tuKwakua ni mtazamo wako sawa,ila dizasta ni habari nyingine kwa storry teller