Hatia 4 - Dizasta vina ni best story teller tangu hiphop ya bongo ianze mpaka sasa

Hatia 4 - Dizasta vina ni best story teller tangu hiphop ya bongo ianze mpaka sasa

Songa moja katika ya wasanii ambao nao wanauwezo mdogo, ila akapata jina ghafla na jina halijakua hadi leo

Shukrani kwa tamaduni muziki
 
No body is safe 2


Huyu dizasta atakua jini huyu jamaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sijui kwanini nashindwa kumsikiliza...

Nimeutafuta wimbo nikaishia kuucheza hadi dakika 1 tu.

Nikaishia kuisikiliza King Kolla na Nyokaa. Nadhani Mbwa ndiye best storyteller kwangu.
King kola ni noma hiyo traki,,,,,sema labda una mapenzi na hiphop ya kwenu arusha,jamaa yuko vizuri sana huyu mwamba dizasta vina...nimemsikiliza baada kupata habari zake hapa huwezi mfananisha na hawa mbogamboga.

Zamani nilikuwa mshabiki mkubwa wa hiphop ya kina watengwa,x-plasters,waturutumbi wakina stoper,shaah bang,bonta,chabha....,mapacha lakini sikuizi nimeacha nilikuwa nakesha na anko sam mpaka saa7 usiku kwenye weekend fever sidhani kama kuna kipindi cha redio cha hiphop bongo kitakuja tokea kama kile...ngoma ngumu kweli na orijino hiphop.
 
Back
Top Bottom