Hatia 4 - Dizasta vina ni best story teller tangu hiphop ya bongo ianze mpaka sasa

Sijui kwanini nashindwa kumsikiliza...

Nimeutafuta wimbo nikaishia kuucheza hadi dakika 1 tu.

Nikaishia kuisikiliza King Kolla na Nyokaa. Nadhani Mbwa ndiye best storyteller kwangu.
Dizasta ndiyo best Emcee kwenye history ya hip hop East Africa. Kumlinganisha na wavuta bangi ni kudharirisha na kuidharirisha maana ya fasihi na Sanaa kwa ujumla.

Yaani unalinganisha muscular feminist na tumbonii? Hatia V na kingkola au thaluji/ mbuzi na nyokaa?

Kuwa serious mkuu.
 
Unamuacha wapi Chindo Man kwenye ngoma kama, Nyoka, Haikupangwa, Dog Danger.
Pia kuna Marehemu Father Nelly, msikie kwenye Ushanta. Dogo ni mkali ila siyo mkali kuliko wote kwenye Game
Nashindwa kuelewa kama unachekesha au umeamua kujitoa fahamu tu.

Ubora wa sanaa ya Dizasta, research na philosophy kwenye uandishi wake, kulinganisha na nyimbo kama kingkola, tumbonii na nyokaa ni upofu na udumavu wa akili.

Unless uwe mvuta bhangi.
 
Huyu mshkaj nina playlist zake ,ngoma zake, Lines Zake ni madini.

Good story teller, Vina like his name. Ukisikiza Ngoma kama Masculine feminine, Hatia zote, nobody is Safe, Confession ( damn humu sasa), Shahidi, kanisa, Verteller ( humu kaonyesha upana wake wa fasihi historia)

Kwa sasa huyu jamaa anafanya hiphop tamu Sana,haiboi. Those times nilikuwa namuelewa Songa, pumzi ikakata njiani. Kuna dogo mmoja alinigia anga zake akakutana na Tribulation.

Inshort dude anajua, uandishi,vina na kusimama ktk topic, nadra kumsikia kuhama hama ktk mada, zile za wasaniii wengine kushindwa ku mantain. Dizasta ame lack Flooooooooooooo, ila kwingine ni fire.

Achia jalaa
 
Acha kabisa, nipo nasikiliza 'Money' hapa
 
Acha kabisa, nipo nasikiliza 'Money' hapa

BTW nimeona hapo umemalizia kwamba jamaa ame lack flow, ni hoja ambayo nasikia wakosoaji wengi wa Vina wanaitumi... Wewe binafsi unafikiri wasanii wenye flow kali kibongo bongo ni wakina nani?
 
BTW nimeona hapo umemalizia kwamba jamaa ame lack flow, ni hoja ambayo nasikia wakosoaji wengi wa Vina wanaitumi... Wewe binafsi unafikiri wasanii wenye flow kali kibongo bongo ni wakina nani?
Sio ukali wa floooo ni wingi au utajiri wa flooo. Dizasta, habadiliki magipo yake ni yale yale, Maybe kulingana na content zake au uchache wake wa utajiri wa mikito.
 
Sio ukali wa floooo ni wingi au utajiri wa flooo. Dizasta, habadiliki magipo yake ni yale yale, Maybe kulingana na content zake au uchache wake wa utajiri wa mikito.
Nakuelewa, so ana flow kali ila habadiliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…