Hatifungani ya Azania bank yaorodheshwa rasmi soko la hisa

Hatifungani ya Azania bank yaorodheshwa rasmi soko la hisa

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Sasa ni rasmi hatifungani hiyo iliyofanikiwa kuvuka lengo la mauzo kwa kufikisha mauzo ya asilimia 210.9 kwa kukusanya sh. Bilioni 63.3, sasa itauzwa kupitia mawakala wa soko la hisa na mitaji.
 
RIR = 12%

Kwahiyo nikiwekeza 100Mil napata 12Mil

Ila usisahau REAL INTEREST = NOMINAL INTEREST - INFLATION

Hivyo basi:-
Inflation Bongo, maximum huwa 5 na Minimum 4. Imekuwa hivi kwa muda mrefuu.
Tuchukue minimum rate.

Real Interest = 12% - 4% = 8%

Kwahiyo the REAL GAINING = 8%

Yaani unampa mtu 100mil ili akupe 8Mil kwa mwaka.

Maamuzi ni yako.
KUPANGA NI KUCHAGUA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Thank you brother

Ila una madini mengi ya finance and investment km vipi tupe darasa majukumu yakiwa so mengi...... i request
 
Hiyo biashara ya wenye mitaji kikubwa Sana au watu wenye mitaji kidogo Ila waoga wa biashara.
Waoga wa risk.
RIR = 12%

Kwahiyo nikiwekeza 100Mil napata 12Mil

Ila usisahau REAL INTEREST = NOMINAL INTEREST - INFLATION

Hivyo basi:-
Inflation Bongo, maximum huwa 5 na Minimum 4. Imekuwa hivi kwa muda mrefuu.
Tuchukue minimum rate.

Real Interest = 12% - 4% = 8%

Kwahiyo the REAL GAINING = 8%

Yaani unampa mtu 100mil ili akupe 8Mil kwa mwaka.

Maamuzi ni yako.
KUPANGA NI KUCHAGUA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
RIR = 12%

Kwahiyo nikiwekeza 100Mil napata 12Mil

Ila usisahau REAL INTEREST = NOMINAL INTEREST - INFLATION

Hivyo basi:-
Inflation Bongo, maximum huwa 5 na Minimum 4. Imekuwa hivi kwa muda mrefuu.
Tuchukue minimum rate.

Real Interest = 12% - 4% = 8%

Kwahiyo the REAL GAINING = 8%

Yaani unampa mtu 100mil ili akupe 8Mil kwa mwaka.

Maamuzi ni yako.
KUPANGA NI KUCHAGUA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Vipi unaifahamu ile SAMIA BOND type mchanganuo Ingawa imeshafungwa.
 
Kama ni mkataba wa miaka kumi utaondoka na 180m
 
Vipi unaifahamu ile SAMIA BOND type mchanganuo Ingawa imeshafungwa.
Comment yangu inaenda kwa kila aina ya Financial Instrument inayotoa RIR kwa mwaka kama SAMIA BOND na Wengine woteeee

Note:-
Kwenye 12% utaweka hiyo Faida/Interest anayokupa.
Vyengine USIBADILISHE CHOCHOTEEE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kama ni mkataba wa miaka kumi utaondoka na 180m
Dah sorry ila upo Shalooo sanaa.

Iko hivi....

Ikiwa uwekezaji ni wa miaka mingi (muda mrefu) unatumia FV = PV/ (1+r) ^n

Ikiwa ni mwaka mmoja/linear
I = PRT/100

Karibu nikufunze FINANCE AND INVESTMENT.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
ni sahihi unaweza kuwekeza kokote iyo 100mil hata kwenye bolts then ukaanza kupambana na hao uliowajiri maana wameshageuka kuwa mabosi wako. saivi wao ndo wanaamua wakupe au wasikupe.
Mwisho wa siku tukubaliane kuwa ""Sio kila mtu anaweza biashara"

Hivyo Financial Market bado inahitaji watu kama hao.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Suala la inflatation rate ni kikwazo at that time pesa ishashuka thamani bado wanaminus 5% kwenye interest
 
Vipi unaifahamu ile SAMIA BOND type mchanganuo Ingawa imeshafungwa.
Samia Bond unapata interest ya 12% bila Kodi kwa mwaka na gawio unapata mara 4 ndani ya mwaka husika .....Hela hii itatumika kuwekeza katika miradi ya TARURA kuboresha miundombinu hapa Tanzania kwa miaka Mi tano
 
Tatizo hizi mambo huwa hawasemi yote unapo invest. Ukifika wakati unataka kuchukua faida zako unasikia "Kweli hakuna kodi/makato ila kuna hii inflation (4%)".
Unapata tofauti na ulichotegemea.
Of cause Samia Bond waliweka kikokotoo online kinaonesha hakuna hiyo Inflation n.k.
 
Ila kama ni asilimia 12 wanatoa kwa Riba kwa mwaka means kama hela utachukua baada ya miaka mitano wao watakupigia mahesabu kwa hiyo hiyo 12% waliyosema.

Hiyo 4% mfano ya inflation ni ww mwenyewe utajipigia thamani ya hela utakayopata kwa wakati huo imeshushwa na Inflation kwamba sio thamani halisi kiuhalisia.
 
Back
Top Bottom