mushkhan moshi
Member
- Oct 4, 2016
- 49
- 81
Si njaa zao ndo zilizowapeleka,kama huyo mwengine aliyejifanya kuzaa naye na kutafuta kiki.swali fupi tu,hivi tangu waanze kungonoka mahusiano yao ya kwanza alikuwa diamond tu? Hakukuwa na wengine kabla ya yeye? Au kwa sababu anaukwasi na wao walitegemea njaa zao wapate hisani yake? Mambo yalipoenda mlama wanadai wamechafuliwa.Tena wengine walivyokuwa hawana haya wanajitangaza kabisa kwenye media kwamba,akitaka hata uvunguni anapewa,Hakuna mwanaume anayekataa papuchi za watoto wazuri zinazotaka kushughulikiwa.Teh teh teh
Diamond platunumz amepost katika ukurasa wake wa instagram huku akionesha ushahidi ambao unathibisha ukweli wa ndoa yao kukaribia
Zarithebossylady ambaye ametoka south africa yupo nchini tanzania kwa sasa
Baadhi ya watu wamekuwa wakieleza kiwa msanii Diamond ndiye msanii pekee tanzania ambaye hapendwi na wanawake ma super star wa tanzania kwa kile wanachoita dharau ya kumuoa mganda baada ya kuwa amesha wachafua kimwili ma superstar hao
Sent using Jamii Forums mobile app