mushkhan moshi
Member
- Oct 4, 2016
- 49
- 81
Diamond platunumz amepost katika ukurasa wake wa Instagram huku akionesha ushahidi ambao unathibisha ukweli wa ndoa yao kukaribia
Zarithebossylady ambaye ametoka Afrika Kusini yupo nchini Tanzania kwa sasa
Baadhi ya watu wamekuwa wakieleza kuwa msanii Diamond ndiye msanii pekee Tanzania ambaye hapendwi na wanawake masuperstar wa Tanzania kwa kile wanachoita dharau ya kumuoa mganda baada ya kuwa ameshawachafua kimwili masuperstar hao
Sent using Jamii Forums mobile app