Huyu show off zake zinamponza sana kwa akili yake ndogo anahisi anawakomoa akina fulani kmb ndo anajimaliza. Zari yupo pale for fame umarufu ukiisha anachukua kilicho chake anasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tchee tchee tcheeSioni shida let them mtu each other, na akimaliza atulir sio kuzaazaa tena nje ya ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]kila la kheri mlee watoto wenu vizuri
sasa kama zari ndo hivo hao wakina wema na wakina joketi sijui mobeto walikua naye kwa ajili gani??pesa fame au nini labda??Huyu show off zake zinamponza sana kwa akili yake ndogo anahisi anawakomoa akina fulani kmb ndo anajimaliza. Zari yupo pale for fame umarufu ukiisha anachukua kilicho chake anasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke gani ambae hayupo kimaslai? Karbu wote wanafanana tabia muhimu ni kufanya maamuz na kumuachia mwenyez mungu asimamieKweli kabisa @ Kaka! Yani inatia huruma nyie Yule kaka amekamatika hasa! Hatumuombei afulie lakini ikitokea hivi anazani Yule Mwanamke atamstahamilia? Yule yupo kimaslahi tu pale! I am sorry to say all that!
mpaka umaarufu uje uishe sio karne hiiHuyu show off zake zinamponza sana kwa akili yake ndogo anahisi anawakomoa akina fulani kmb ndo anajimaliza. Zari yupo pale for fame umarufu ukiisha anachukua kilicho chake anasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke gani ambae hayupo kimaslai? Karbu wote wanafanana tabia muhimu ni kufanya maamuz na kumuachia mwenyez mungu asimamie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo wamegoma kutoa kikiWaache waoaneee!!!
Ila mziki wa Seduce me upo pale pale unakaribia 2M huko YouTube.
Sent using Jamii Forums mobile app