Hatima Diamond Kathibitisha ndoa yake na Zari

Hatima Diamond Kathibitisha ndoa yake na Zari

Huyu show off zake zinamponza sana kwa akili yake ndogo anahisi anawakomoa akina fulani kmb ndo anajimaliza. Zari yupo pale for fame umarufu ukiisha anachukua kilicho chake anasepa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli kabisa @ Kaka! Yani inatia huruma nyie Yule kaka amekamatika hasa! Hatumuombei afulie lakini ikitokea hivi anazani Yule Mwanamke atamstahamilia? Yule yupo kimaslahi tu pale! I am sorry to say all that!
 
huyu Zari muda si mrefu atatimua zake SAUZI kusimamia mali za Ivan.....Diamond ameshaanza kufilisika
 
Ndoa baraka mapenz hayachagui kabila nchi wala dini simba dumee simba jike kila la kherii psychopath mange tumbo la mharo litambana.
 
Huyu show off zake zinamponza sana kwa akili yake ndogo anahisi anawakomoa akina fulani kmb ndo anajimaliza. Zari yupo pale for fame umarufu ukiisha anachukua kilicho chake anasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama zari ndo hivo hao wakina wema na wakina joketi sijui mobeto walikua naye kwa ajili gani??pesa fame au nini labda??
 
Kweli kabisa @ Kaka! Yani inatia huruma nyie Yule kaka amekamatika hasa! Hatumuombei afulie lakini ikitokea hivi anazani Yule Mwanamke atamstahamilia? Yule yupo kimaslahi tu pale! I am sorry to say all that!
Mwanamke gani ambae hayupo kimaslai? Karbu wote wanafanana tabia muhimu ni kufanya maamuz na kumuachia mwenyez mungu asimamie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye mama wa watoto 6 anataka kuolewa ,yaani ashindwe kuolewa na aliyemzalisha wanne Ivan aje kufia kwa domo
 
Mwanamke gani ambae hayupo kimaslai? Karbu wote wanafanana tabia muhimu ni kufanya maamuz na kumuachia mwenyez mungu asimamie

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa baadhi nakukubalia lakini siyo wote @ Mbati! Wapo wanawake wengi tu wasio na tamaa na kutaka mashindano na Watu wengine, Matharani kuna wanawake wanataka kushindana katika kuvaa mavazi ya kila fasheni inayoingia, wengine kubadilisha Magari , kutoka outings za kila wakati na kwenda kumbi Za starehe kila leo Hata Kama analea, na mambo chungu nzima [emoji108], na wanawake wa hivyo uchumi wa Mume ukiyumba kidogo tu amani inakosekana ndani anaanza kumhisi mumewe labda Ana mchepuko n.k, lakini wapo akina wanawake wengi tu wenye kuwa na kiasi ktk mambo mengi, si Mtu wa tamaa na mashindano wala kutaka makuu, yupo tayari kuvumilia ktk mapito yote bila kumuongezea mumewe Msongo wa mawazo! Wanawake wengine saa zote yuko na kucha Ndefu kapaka Rangi hajui kusugua masufuria wala kufua mashuka, ukienda nae kijijini anajidai Mzungu eti hajui kutumia kuni eti anajidai kukohoa na kujiliza mara anamuhimiza mumewe waondoke warudi mjini Au anawambia watoto mwambieni baba tuondoke!
 
Back
Top Bottom