Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ni mtazamo kulingana na ukweli kuwa, Jengo hili kubwa na zuri, limejengwa pembezeni mwa barabara inayoingia mijini Dodoma (katika ya mji) huku barabara ikiwa finyu na magari teyari ni mengi na siku zijazo barabara itahitajika kupanuliwa.
Ukiangalia, ni wazi watakuwa wamejenga nje ya hifadhi ya barabara(kwa nchi yetu, kinyume chake pia inawezekanaila). Hata hivyo, ni ukweli pia ile barabara sasa inaanza kuwa nyembamba kutokana na ongezeko la magari huku mji ukiwa unapanuka na teyari foleni Dodoma zimeanza.
Hivyo, kwa mtazamo wangu, miaka 10 ijayo(pengine kabla hata ya hio miaka 10), barabara hii itahitajika kupanuliwa, na sehemu ya hilo Jengo sambamba na majengo mengine, yatalazimika kubomolewa kama ilivyokuwa kwa Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam.
Time will tell.