Hatima ya Jengo la kiuchumi la kanisa la Anglican(SAFINA HOUSE) mjini Dodoma, inaweza kuwa kama ya Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam

Hatima ya Jengo la kiuchumi la kanisa la Anglican(SAFINA HOUSE) mjini Dodoma, inaweza kuwa kama ya Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam

Sisi Wakristo Ndoa ni ya mke Mmoja na ikishafungwa mnakuwa Kitu kimoja hadi kifo kiwatenganishe

Kwahiyo hatuombei ya Hawaii yaikute Ndoa hii 😂😂🔥
Inabidi ustahamili mama amtawale baba. Au una kingine cha kufanya?
 
Inabidi ustahamili mama amtawale baba. Au una kingine cha kufanya?
Ndoa za mitala huko Afghanistan ndio wanandoa wanatawalana

Tanzania Ndoa ni za kigalatia tupu 😂😂🔥 kama unabisha Waulize Marope family au akina Musa wa Teknolojia 😂
 
Hakuna tatizo, watalipwa likibomolewa. Si walipewa vibali halali vya kujenga.

Hivi Dodoma hakuna "master plan" ya jiji?
Unajisikiaje kuona kanisa linajenga jengo kubwa kama hilo. Tupe ya moyoni nafsi yako inajisikiaje 😀
 
Wapi kapicha maana wengine tuko huku mnerumango kwa chini chini pembezoni..........
 
Ukiangalia, ni wazi watakuwa wamejenga nje ya hifadhi ya barabara(kwa nchi yetu, kinyume chake pia inawezekanaila). Hata hivyo, ni ukweli pia ile barabara sasa inaanza kuwa nyembamba kutokana na ongezeko la magari huku mji ukiwa unapanuka na teyari foleni Dodoma zimeanza.
Ungeweka hata kapicha au ramani kwa sisi wa Muleba tusiojua Dodoma tuone
 
hayo ni maoni yako tu... unadhani taasisi kubwa kama ile inaweza fanya maamuzi bila kufanya upembuzi yakinifu? isitoshe mji wa dodoma (dodoma jiji umepimwa toka enzi ya mkoloni, sio kama dar au mbeya na kwingineko..... pia kanisa aglikana ni taasisi kubwa sana nchi, na kati ya mikoa iliyo wekeza sana na yenye maeneo mengi sana Dodoma naweza sema inaongoza, hivi unajua hadi sehemu walipo jenga bank kuu kanisa anglican ndilo liliipisha serikali?

itoshe kusema hayo tu.....
Maafsa mipango miji wetu ni vipofu sioni sababu ya kuwasifia.
 
Pana yesu pale wakigusa ndiyo mwisho wao wa kuishi
 
Back
Top Bottom