Oooh kumbe, nilifikiri ni jiji la Watanzania.Anglikana ndio Wenye Jiji la Dodoma
Mara kwa mara Askofu mkuu wa Canterbury hufika Dodoma kwa Washauri wake mzee Malecela, mzee Ndugai na Prof Kabudi
😂😂Oooh kumbe, nilifikiri ni jiji la Watanzania.
Ni kweli kabisa, ziliungana Tanganyika na Zanzibar ndiyo ikazaliwa Tanzania.😂😂
Duni Haji: Jina Tanzania halimo Kwenye Hati ya Muumgano
Sawa Baba ni Tanganyika na Mama ni Zanzibar na Mtoto ni Tanzania kama inavyosomeka kwenye Cheti cha Ubatizo na siyo Cheti cha Ndoa!Ni kweli kabisa, ziliungana Tanganyika na Zanzibar ndiyo ikazaliwa Tanzania.
Na mama katuzidi ujanja anamtawala baba.Sawa Baba ni Tanganyika na Mama ni Zanzibar na Mtoto ni Tanzania kama inavyosomeka kwenye Cheti cha Ubatizo na siyo Cheti cha Ndoa!
Sisi Wakristo Ndoa ni ya mke Mmoja na ikishafungwa mnakuwa Kitu kimoja hadi kifo kiwatenganisheNa mama katuzidi ujanja anamtawala baba.
Hivi mkataba huo unakwisha lini?
Inabidi ustahamili mama amtawale baba. Au una kingine cha kufanya?Sisi Wakristo Ndoa ni ya mke Mmoja na ikishafungwa mnakuwa Kitu kimoja hadi kifo kiwatenganishe
Kwahiyo hatuombei ya Hawaii yaikute Ndoa hii 😂😂🔥
Ndoa za mitala huko Afghanistan ndio wanandoa wanatawalanaInabidi ustahamili mama amtawale baba. Au una kingine cha kufanya?
Salama mkuuHabari za hapo angrikan broo
Miji mikongwe IPO dunianikoteNaomba niwe sehemu ya unabii huu
Kama una hoja hivi!Anglikana ndio Wenye Jiji la Dodoma
Mara kwa mara Askofu mkuu wa Canterbury hufika Dodoma kwa Washauri wake mzee Malecela, mzee Ndugai na Prof Kabudi
Kama muongeze na,mavunde,mc pilipili,mpwayunguAnglikana ndio Wenye Jiji la Dodoma
Mara kwa mara Askofu mkuu wa Canterbury hufika Dodoma kwa Washauri wake mzee Malecela, mzee Ndugai na Prof Kabudi
Unajisikiaje kuona kanisa linajenga jengo kubwa kama hilo. Tupe ya moyoni nafsi yako inajisikiaje 😀Hakuna tatizo, watalipwa likibomolewa. Si walipewa vibali halali vya kujenga.
Hivi Dodoma hakuna "master plan" ya jiji?
Wagogo na waha kwa Anglikana ni kama walichanjiwa. Hao ndo wenye Anglikana yaoAnglikana ndio Wenye Jiji la Dodoma
Mara kwa mara Askofu mkuu wa Canterbury hufika Dodoma kwa Washauri wake mzee Malecela, mzee Ndugai na Prof Kabudi
Ungeweka hata kapicha au ramani kwa sisi wa Muleba tusiojua Dodoma tuoneUkiangalia, ni wazi watakuwa wamejenga nje ya hifadhi ya barabara(kwa nchi yetu, kinyume chake pia inawezekanaila). Hata hivyo, ni ukweli pia ile barabara sasa inaanza kuwa nyembamba kutokana na ongezeko la magari huku mji ukiwa unapanuka na teyari foleni Dodoma zimeanza.
Maafsa mipango miji wetu ni vipofu sioni sababu ya kuwasifia.hayo ni maoni yako tu... unadhani taasisi kubwa kama ile inaweza fanya maamuzi bila kufanya upembuzi yakinifu? isitoshe mji wa dodoma (dodoma jiji umepimwa toka enzi ya mkoloni, sio kama dar au mbeya na kwingineko..... pia kanisa aglikana ni taasisi kubwa sana nchi, na kati ya mikoa iliyo wekeza sana na yenye maeneo mengi sana Dodoma naweza sema inaongoza, hivi unajua hadi sehemu walipo jenga bank kuu kanisa anglican ndilo liliipisha serikali?
itoshe kusema hayo tu.....
Haya Sawa... SiwasifiiMaafsa mipango miji wetu ni vipofu sioni sababu ya kuwasifia.