Hatima ya shule zilizofutiwa matokeo ni ipi?

Mpigamimba

Senior Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
198
Reaction score
237
Mustakabali wa shule zilizofutiwa ni upi Msaada kwa mwenye taarifa za BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA)
 
Unamiliki shule na huna connection ya kujua vijqmbo vidogovidogo kama hivi?

Ngoja waje kukupa muongozo
 
Muandae mwanao atapiga pepa tena halafu muache kupeleka watoto shule za hivyo kisa ufaulu wao huwa ni wajuu sana
Usisahau zipo shule za hivyo ambazo hazijafutiwa matokeo..!!
 
Usisahau zipo shule za hivyo ambazo hazijafutiwa matokeo..!!
Wameiba kiprofeshno ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ zilizo futiwa itakuwa kuna vitoto pamoja na kupewa majibu vili enda kutangaza mtaani Daddy anko mamii antii walitupa majibu ya mitihani๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wameiba kiprofeshno ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ zilizo futiwa itakuwa kuna vitoto pamoja na kupewa majibu vili enda kutangaza mtaani Daddy anko mamii antii walitupa majibu ya mitihani๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tuzingatie na tujadili matumizi ya neno ITAKUWA kwenye post yako..!!
Matumizi ya neno itakuwa yanat8kana na kutokuwa na uhakika na kisemwacho. Inaweza ikawa uzushi tu. KwNi waliotoa taarifa ya kufutwa matokeo hawakutoa sababu ya/za matokeo kufutwa?
 
Nimezingatia matumizi ya neno itakuwa. Hakuna sehemu sijazingatia.
 
Mustakabali wa shule zilizofutiwa ni upi Msaada kwa mwenye taarifa za BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA)
 
Na vipi kuhusu selection za wanaojiunga na kidato cha kwanza , zinatoka lini ? Naombeni majibu wapwa .
 
Hizo shule zilizofutiwa mwakani zitaendelea vipi kwa waliobaki shuleni? la sita kushuka chini
 
Tetesi ni kuwa watoto watafanya mitihani tena kwa tarehe zitakazo elekezwa tetesi.
Siyo tetesi bali ni rasmi ,watoto watafanya mtihani tarehe 21 na 22 December 2022.Kama shule yako imefungiwa watoto wamepangiwa shule za jirani,kama haijafungiwa wanarudia mtihani shule hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ