TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kuna Baadhi ya Wanasiasa Walisikitisha sana Hatima yao, Nitawataja wawili ambao Visa Vyao Nimevifuatilia Kwa Undani Hasa. Kuna Rais aliyefikia Mauti Kwa Njia ya Kinyama kabisa wa Taifa La Liberia aliyeitwa Samuel Doe, Huyu aliingia Madarakani Kwa Kupindua Serikali, Kisha siku chache akasindika Nguzo baharini na akawapiga Risasi Viongozi wa serikali iliyopinduliwa Akidai ni Mafisadi na walitawala kwa Kiimla.
Cha Kushangaza, Miaka chini ya sita baadaye na yeye akawa Fisadi wa Kutisha na akatawala kwa Mabavu zaidi ya waliomtangulia, Wahasimu wake wawili Charles Taylor na Prince Johnson Lendawazimu sana, Wakaanzisha Vita vya Uasi na Mwishowe kwa Kusalitiwa na Mkuu wa Majeshi wa UN, Samuel Doe akatekwa, na akafikiwa na Mauti ya fedheha Kuliko alivyowaua wapinzani wake. Hakuna haja ya Kueleza ila Dunia Nzima inajua yaliyomfika.
Aliwapiga risasi Viongozi wa Serikali Mbele ya Halaiki.
Hapa Doe Akiwa Metekwa Kutoka Kambi ya UN na Kuletwa Kambi ya Prince Johnson, Hapa wanamvua Nguo, Kumchoma Visu na Kumkata Masikio! (Alistahili kwa Kuwa hakujali wengine)
Hapa Johnson Ameshamkata Masikio, amemkabidhi kwa askari wake Waendelee Kumtesa na Kumwagia Mikojo huku wakimhoji na Kumtusi, (Doe alistahili kwa Kuwa alifurahia mateso ya wengine)
Hapa Wakiwa wameshamuua Wakianza Safari ya Kumzungusha Mji Mzima wa Monrovia
Na Yeye akauawa na Kuburuzwa Kwenye Kitoroli Mji Mzima wa Monrovia.
Wakati wakimzungusha Mitaani Baadhi wakaamua Wamnyoe Nywele zake na Kisha Kumkata Uume wake. Akawa Kioja mbele za watu wote (Kipimo Unachopimia Wengine ndicho utakachopimiwa)
Ukiwa Unadhambi Jipime sana Kabla Hujarushia Mawe, Kuhukumu wadhambi wengine. (Not sitetei Mafisadi, I don't care, Naonya Tu Juu ya UNAFIKI)
Hapo Jirani Na Tanzania Kulikuwepo Na Mbunge na Waziri Mmoja Miaka ya 70, Mbunge huyu wa Nchini Kenya alijulikana kwa Jina Maarufu kama JM. Kariuki, au Josiah Mwangi Kariuki. Huyu alikuwa akifanya siasa za Kujihusisha sana na Wanyonge, akitetea Masikini, akiwashutumu Viongozi wengine Kuwa Ni Mafisadi, akamshutumu mpaka Rais wake Mzee Jomo Kenyatta. Lakini ambacho Wakenya wengi walikuwa hawajui, JM Kariuki alikuwa Mwenyewe Ni Mwizi, Fisadi, Mbadhilifu na Mshiriki katika Uporaji wa Ardhi na Mashamba. Sasa Kwa Kuwa Viongozi Wenzake walimjua, kuwapaka matope alikowapaka matope bila yeye kuwa Msafi Kuliwapa kinyaa na Hasira Kubwa sana dhidi yake, Basi Siku Moja wakamwita Katika Ofisi Kuu ya Upelelezi wakampiga sana na Kumpiga risasi na hatimaye wakaenda Kutupa Mwili wake Katika Msitu wa Kishetani, Msitu wa Ngong, Msitu wa Ngong Kenya Ni Msitu wanakotupwa watu wanaouawa Kinyama Kama Ilivyo Msitu wa Mwabepande Tanzania.
Utajiri wa Kariuki huu hapa!
JM Kariuki’s widows agree on sharing wealth
Naeleza Haya Yote Nikitoa Wito Kwa Viongozi wetu Kuwa, Wajiepushe Kuwa Wanafiki na Wachafu, Kama Wameamua Kujitolea Kusafisha Uchafu wa Nchi! Na wafanye haki Katika yote, sio Ujanja Ujanja, Kwani Kuiba haki na Uhuru wa watu Pia Ni sawa na Fisadi anayeiba fedha za watu hao hao, wote ni Waovu! FISADI NA MWONEVU, FISADI NA MNAFIKI, FISADI NA DICTATOR Wote Ni Sawa, WAOVU!