Hatima ya Unafiki na Uwongo Katika siasa!

Hatima ya Unafiki na Uwongo Katika siasa!

Kariuki alikuwa Mwizi, na Fisadi Mkubwa sana, Nitakupa Ref. Hapo chini, Lakini Nikuulize, Je Unaweza Kunionyesha Nikimtaja Magufuli? Kumbe wewe mwenyewe Umechora Picha Ukamwona! kwenye Mada yangu basi Hongera Lisemwalo lipo!

Ufisadi wa JM Kariuki
Tafuta Kitabu Hiki, Ni Bei Mbaya Lakini $ 300 hivi
51lmeuIGFzL._SX327_BO1,204,203,200_.jpg

Ningekupa Copy yangu, Lakini, Vitabu vyangu Viliungulia Kwenye Nyumba yangu Iliyoungua 2012 Dec. 22 na Kuunguza Kila Kitu Ikiwa ni Pamoja na Magari yangu Mawili. Ila sasa Kila Kitu Kiko Vizuri.
Pole mkuu
 
Mkuu wanasema ukisikia paaa... Ujue
 
...
Naeleza Haya Yote Nikitoa Wito Kwa Viongozi wetu Kuwa, Wajiepushe Kuwa Wanafiki na Wachafu, Kama Wameamua Kujitolea Kusafisha Uchafu wa Nchi! Na wafanye haki Katika yote, sio Ujanja Ujanja, Kwani Kuiba haki na Uhuru wa watu Pia Ni sawa na Fisadi anayeiba fedha za watu hao hao, wote ni Waovu! FISADI NA MWONEVU, FISADI NA MNAFIKI, FISADI NA DICTATOR Wote Ni Sawa, WAOVU!
Pia kuna huyu mwanasiasa anayejiita Mbowe, yaani baada ya kutuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi kwa takriban miaka nane aliamua kubadili gea angani na kumkumbatia. Na kama haitoshi sasa anahamasisha vurugu kupitia operesheni anayoiita Ukuta. Nami natoa wito kwa Mbowe ajiepushe kuwa mnafiki na mchafu kama ameamua kujitolea kusafisha uchafu wa nchi.
 
Wewe ni Mchochezi zaidi ya wachochezi wenyewe! Unayajua yaliyokuwa yanafanyika huko>
1. Walikuwa wanahamasisha elimu bure?
2. Walikuwa wanahamasisha kubnoresha huduma ikiwa pamoja na afya, maji umeme nk?
3. Walikuwa wanahamashihsa ukusanyaji wa kodi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.
Hebu acheni ujinga kufananisha vitu viwili vilivyo tofauti! Nlizoea ulaji wa bila kumwah=ga jasho hapana imetosha kila mtu apate mali kwa haki poleni sana!
Gaddafi alikuwa anatoa yote hayo na Zaidi lakini mwisho wake ilikuaje?
 
Gaddafi alikuwa anatoa yote hayo na Zaidi lakini mwisho wake ilikuaje?
Umeona ee. Wananchi wakadangwanywa sasa wanajuta, Syria na Misri Hivyohivyo!. Watanzania tusikubali kudanganywa na mafisadi. Asante sana kwa kunikumbusha Mkuu. Watu hawajitambui!
 
KUNA SIKU UTACHOMOLEWA TU HUKO UNAKOJIFICHA. UNAJIFANYA KUANDIKA HAPA NCHINI WAKATI UMEJIFICHA KWA SHEMEJI YAKO MAREKANI NA UMECHUKUA URAIA WA KIKARATASI!!
Nimejificha Kwa shemeji? Unachekesha, Naona Unapicha ya Kijana Mdogo ambaye Dunia Haijui Kuwa Ni duara au ni meza. Mimi Ni Mtu Mzima, Nina Nyumbani Kwangu Marekani, Lakini Ninafanya kazi za Ukondorasi wa Mitambo ya Umeme wa Viwanda Dunia Muzima. Zaidi Visima vya mafuta vya Caspian seas, Na Mimi Sio Mtoto Ni Mtu Mzima na Nakimbilia Miaka hamsini, Sasa Ukisukumana na Mimi Utaumia au Kupata Laana Bure, n Hey Huwa Mimi Sitishiki Nakusamehe kwa hilo!
 
KAMA NI RAIA WA MAREKANI ACHA UCHOCHEZI BASI MAANA MAMBO YA NCHI YETU WEWE HAYAKUHUSU!!
 
Back
Top Bottom