Hatima ya Unafiki na Uwongo Katika siasa!

Pole mkuu
 
Mkuu wanasema ukisikia paaa... Ujue
 
Pia kuna huyu mwanasiasa anayejiita Mbowe, yaani baada ya kutuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi kwa takriban miaka nane aliamua kubadili gea angani na kumkumbatia. Na kama haitoshi sasa anahamasisha vurugu kupitia operesheni anayoiita Ukuta. Nami natoa wito kwa Mbowe ajiepushe kuwa mnafiki na mchafu kama ameamua kujitolea kusafisha uchafu wa nchi.
 
Gaddafi alikuwa anatoa yote hayo na Zaidi lakini mwisho wake ilikuaje?
 
Gaddafi alikuwa anatoa yote hayo na Zaidi lakini mwisho wake ilikuaje?
Umeona ee. Wananchi wakadangwanywa sasa wanajuta, Syria na Misri Hivyohivyo!. Watanzania tusikubali kudanganywa na mafisadi. Asante sana kwa kunikumbusha Mkuu. Watu hawajitambui!
 
KUNA SIKU UTACHOMOLEWA TU HUKO UNAKOJIFICHA. UNAJIFANYA KUANDIKA HAPA NCHINI WAKATI UMEJIFICHA KWA SHEMEJI YAKO MAREKANI NA UMECHUKUA URAIA WA KIKARATASI!!
Nimejificha Kwa shemeji? Unachekesha, Naona Unapicha ya Kijana Mdogo ambaye Dunia Haijui Kuwa Ni duara au ni meza. Mimi Ni Mtu Mzima, Nina Nyumbani Kwangu Marekani, Lakini Ninafanya kazi za Ukondorasi wa Mitambo ya Umeme wa Viwanda Dunia Muzima. Zaidi Visima vya mafuta vya Caspian seas, Na Mimi Sio Mtoto Ni Mtu Mzima na Nakimbilia Miaka hamsini, Sasa Ukisukumana na Mimi Utaumia au Kupata Laana Bure, n Hey Huwa Mimi Sitishiki Nakusamehe kwa hilo!
 
KAMA NI RAIA WA MAREKANI ACHA UCHOCHEZI BASI MAANA MAMBO YA NCHI YETU WEWE HAYAKUHUSU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…