Hivi mkuu kwa quality ya Toyota hivi vi Vits na Vi PassoToyota walipo chemka ni kwenye Prado
Mkuu hivi prado 2018 umeiona kweli?... Acha Lc200 series...Toyota walipo chemka ni kwenye Prado
Me kampuni ya gari ikishaitwa Toyota naona kama nyanya, bodi zake ni nyepesi sana.
UdaBodi za magari gani ni ngumu mkuu, tujuzane pls
Atakuwa hajaiona huyo, sahivi Toyota gari zao zinarudi into shape nzuri za kuvutia, Prado, Highlander, Rav4, Land Cruiser binafsi shape ya kilimo kwanza ni kama iliharibu muonekano wa cruiser ila facelifted ya 2017 imerudisha heshima.Mkuu hivi prado 2018 umeiona kweli?... Acha Lc200 series...
Zipo nyingi sana zimerudishwa " vintage cars are now back "Body nyepesi ni kwa ajili ya safety, pia hakuna gari yenye body ngumu sahivi. Body ngumu ziliishia miaka ya mwanzoni mwa 90 huko!
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwani hizo design unazohisi ni za kike zinabeba mimba? Mbona tunaendesha hatuoni papuchi mle.