Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Naweza kusema Toyota ameanza kurudi kwenye mstari wa kutengeneza vyombo vya uhakika baada ya kutoka kutufyatulia uchafu kadhaa kati ya miaka 2012-2017 hapo.

Wale designer wa gari ambazo hazitazamiki nadhani watakuwa wameshapangiwa kazi nyingine mpaka sasa kama sio kuwa fired kabisa. Kuna mabadiliko makubwa katika muonekano wa gari za Toyota za sasa.

Hatimae 2019 tu design mpya ya RAV 4 ambayo imekaa kiume binafsi nimeielewa sana na naweza kuhamia katika hio brand panapo majaliwa. RAV 4 nilikua sizikubali kabisa licha ya fuel economy ila shepu yake ya kike ilikuwa inanikera hata hazipimpiki yani.

Ichekini 2019 Rav 4 hapa.
 
2019-Toyota-RAV4-front-three-quarter-1.jpg


2019-Toyota-RAV4-rear-three-quarter-01-1.jpg
 
Mkuu hivi prado 2018 umeiona kweli?... Acha Lc200 series...
Atakuwa hajaiona huyo, sahivi Toyota gari zao zinarudi into shape nzuri za kuvutia, Prado, Highlander, Rav4, Land Cruiser binafsi shape ya kilimo kwanza ni kama iliharibu muonekano wa cruiser ila facelifted ya 2017 imerudisha heshima.
 
Back
Top Bottom