Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Hahahaha..watu bwana mnadhani V8 mmemiliki wenyewe tu. Narudia tena tunanunua Toyota kwasababu ni maskini tu, huwezi kuendesha Toyota ukajifananisha na mwenye BMW au Mercedes.

Sio kweli aisee mbona kuna benz na bmw zina bei sawa na Toyota

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yup. Ni mercedes right? Lete Toyota.
Jua kwanza tofauti ya High end cars vs vintage/collector/Classic cars then rudi hapa utueleze hilo gari kama lina angukia kwny hilo grouop la High end car kama ulivyoitaja.
 
Jua kwanza tofauti ya High end cars vs vintage/collector/Classic cars then rudi hapa utueleze hilo gari kama lina angukia kwny hilo grouop la High end car kama ulivyoitaja.
Nilikupa vintage nifunge huu mjadala. Haya mercedes maybach sedans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…