Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota walipo chemka ni kwenye Prado
Chief game bado ni gumu..
Mpaka sasa sina hata pikipiki...
Lakini bado napambana aiseeh.
Amini usiamini, wachagga wanazipenda
Hahahaha..watu bwana mnadhani V8 mmemiliki wenyewe tu. Narudia tena tunanunua Toyota kwasababu ni maskini tu, huwezi kuendesha Toyota ukajifananisha na mwenye BMW au Mercedes.
Je kuna Toyota ina bei sawa na high end BMW au Benz achana na hizi E/A-class na old models.Sio kweli aisee mbona kuna benz na bmw zina bei sawa na Toyota
Sent from my iPhone using JamiiForums
Toyota walipo chemka ni kwenye Prado
Je kuna Toyota ina bei sawa na high end BMW au Benz achana na hizi E/A-class na old models.
Je kuna Toyota ina bei sawa na high end BMW au Benz achana na hizi E/A-class na old models.
Mercedes Benz W196.Toa mfano wa gari ya benz au bmw ambayo wewe unadhani ni high end na mimi nitakupa Toyota inayoendana nayo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mercedes Benz W196.
Yup. Ni mercedes right? Lete Toyota.Ukimaanisha MB W196 iliyotengenezwa
mwaka 1954 sio?
Jua kwanza tofauti ya High end cars vs vintage/collector/Classic cars then rudi hapa utueleze hilo gari kama lina angukia kwny hilo grouop la High end car kama ulivyoitaja.Yup. Ni mercedes right? Lete Toyota.
Nilikupa vintage nifunge huu mjadala. Haya mercedes maybach sedans.Jua kwanza tofauti ya High end cars vs vintage/collector/Classic cars then rudi hapa utueleze hilo gari kama lina angukia kwny hilo grouop la High end car kama ulivyoitaja.
So unakubali mb w196 sio high end car sio boss?Nilikupa vintage nifunge huu mjadala. Haya mercedes maybach sedans.
Its a matter of time. 1950s it was a high end car but since muda umepata its now a vintage car.So unakubali mb w196 sio high end car sio boss?