Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Kwa hio ikitengenezwa kwa ajili ya imperials ndio haiuzwi kwa wateja wengine sio?

Na lexus LFA inayouzwa $400,000 yenyewe ilitengenezwa kwa ajili ya imperial monarch wa wapi?
Nimesema imperial monarchy na VIPs, tena nimechukua hizi info toka kwenye link uliyotuma. Hata hivyo bado haijafuta hoja yangu huwezi kufananisha Toyota na Benz na nimekuomba unitumie gari yenye price tag kama mercedes-maybach G 650 landaulet v12. Naomba tupunguze siasa, wewe weka gari la Toyota lenye bei ya sawa kama ulivyokuwa unafanya mwanzoni. Mbona tulikuwa tunaenda vizuri tu. Unakwama wapi?
 
Mifano yako yote ni hovyo. Fuatilia mazungumzo yangu na mng'ato.

We ndo mfano wako wa hovyo 🤣🤣🤣🤣 we unatuletea mfano wa vintage car 🤣🤣🤣🤣🤣 hivi hujui kuwa kwenye auction hata baiskeli inaweza kuuzwa milioni 200 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shame on you [emoji28]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Naona umeshasahau swali lako la msingi.

'Je kuna Toyota ina bei sawa na high end BMW au Benz achana na hizi E/A-class na old models.'

Hilo swali halikujibiwa?
 
K

Hahah kule kwny vintage kuna vigari vya ajabu ajabu balaa na unakuta ka hovyo hovyo tu lkn kanauzwa mamilioni.
 
Kwanza siyo kila brand zina vintage cars zinazoweza kuwa na price tag kubwa.
Pili nikakubali ni vintage car na nikaomba mnitafutie gari ya Toyota yenye price tag ya mercedes-maybach G 650 landaulet v12, thats an high end car ya Benz hadi sasa naona mnapiga siasa tu.
 
Naona umeshasahau swali lako la msingi.

'Je kuna Toyota ina bei sawa na high end BMW au Benz achana na hizi E/A-class na old models.'

Hilo swali halikujibiwa?
Bado so far umekuja na Toyota cresta.
 
Kama ni hivyo,ni kwa nini racing cars huwa wanaweka yale machuma(skeleton) kuzunguka seheme ya dereva ili ikianguka isibonyee?
 
Hilo ARB
Hahaha! unatafuta mnyama kama huyu halafu lenye exhaust kama hizo hapo chini...

limekuwa modded na stiff suspension, ground clearance nzuri kwa ajili ya offroad.
 
Mkuu uza hio usije ukawa sio rizki maana unakalia ukuni deile😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…