Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Nimesema imperial monarchy na VIPs, tena nimechukua hizi info toka kwenye link uliyotuma. Hata hivyo bado haijafuta hoja yangu huwezi kufananisha Toyota na Benz na nimekuomba unitumie gari yenye price tag kama mercedes-maybach G 650 landaulet v12. Naomba tupunguze siasa, wewe weka gari la Toyota lenye bei ya sawa kama ulivyokuwa unafanya mwanzoni. Mbona tulikuwa tunaenda vizuri tu. Unakwama wapi?Kwa hio ikitengenezwa kwa ajili ya imperials ndio haiuzwi kwa wateja wengine sio?
Na lexus LFA inayouzwa $400,000 yenyewe ilitengenezwa kwa ajili ya imperial monarch wa wapi?