Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Me kampuni ya gari ikishaitwa Toyota naona kama nyanya, bodi zake ni nyepesi sana.

Nimebahatika kusoma maswala ya safety katika magari mara kadhaa. Ipo hivi, body la gari halitakiwi kuwa gumu sana (rigid) kama ambavo ww unafikiria kwa ajili ya maswala ya kiusalama. Once gari inapopata ajali, lile body linatakiwa kuwa na uwezo fulani wa kuabsorb energy by means of deformation (kubonyea) ili kuweza kupunguza ile energy kuact kwa watu waliokaa ndani. Natumaini nimeeleweka
 
Mbona bado la kike, wameondoa muonekano wa wamama wakaweka wa wadada..!
 
Kwani hizo design unazohisi ni za kike zinabeba mimba? Mbona tunaendesha hatuoni papuchi mle.

Izo gari za kike bana au unataka mademu tuwahonge V8? Mwanaume unashuka kwenye gari vitz/passo hata huvimbi
 
Atakuwa kaelewa huyo, sema kapiga kimya. Halafu ndio tabia ya Toyota haters wengi utaskia body zake laini sasa unajiuliza mtu kama huyu si angenunua kifaru aendeshe maana ndio gari pekee lenye body gumu lisilopitisha bomu wala moto ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…