Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Suzuki 4×4 ni gari ngumu maana hazina marembo mingi ya kutumia umeme kama Europian brand vehicles.

Hio salomon ni more rugged version ya hio gari hapo pichani tofauti na vitara ipo ki mayai zaidi huku escudo ni standard.

Kama ilivyo cruiser mayai ni VX na cruiser ngumu GX.
WEWE JAMAA VIPI?

HIVI NI GARI GANI HASA INAFAA KUANZIA KWA MTU AMBAE HAJAWAHI KABISA KUMILIKIN GARI?

BINAFSI MIMI SIZIPENDI KABISA GARI ZA TOYOTA NA HATA NIKIONA MTU ANAENDESHA NAPATA KICHEFUCHEFU... VIPI NI MCHUMA UPI UNAFAA KWA NEW-BEE WA MAGARI?I
 
alieleta uzi huu sidhani kama na uwezo wa kumiliki pair ya pili ya kiatu sasa sijui iyo Toyota Rv 4 new model ataezaje kuinunua
 
Kwani hizo design unazohisi ni za kike zinabeba mimba? Mbona tunaendesha hatuoni papuchi mle.

Daaah maneno yako yamenipa hamasa ya kupigwa kamoja kwenye gari....AC inafunguliwa kalii viti vinalazwa halafu mziki mkubwaa. Ndo maana chupa za maji ya Kilimanjaro lita moja na nusu huwa hazikosi kwenye gari.

Baadae ya kamoja tunanawa tunakunywa tunasinzia kidooogo halafu mwendo unaendelea.
 
WEWE JAMAA VIPI?

HIVI NI GARI GANI HASA INAFAA KUANZIA KWA MTU AMBAE HAJAWAHI KABISA KUMILIKIN GARI?

BINAFSI MIMI SIZIPENDI KABISA GARI ZA TOYOTA NA HATA NIKIONA MTU ANAENDESHA NAPATA KICHEFUCHEFU... VIPI NI MCHUMA UPI UNAFAA KWA NEW-BEE WA MAGARI?I
Hapo itategemea na mfuko wako upo level zipi, matawi ya mbuzi au ya twiga kwanza tuanzie hapo. Maana kuna economical cars na luxurious cars kwa European manufacturers given that mjapan anakukera!
 
Mazee taka taka za mjapani achana nazo, kuhusu mfuko nimepanga kutenga budget ya 20m-30m hapo.
 
Naweza kusema Toyota ameanza kurudi kwenye mstari wa kutengeneza vyombo vya uhakika baada ya kutoka kutufyatulia uchafu kadhaa kati ya miaka 2012-2017 hapo.

Wale designer wa gari ambazo hazitazamiki nadhani watakuwa wameshapangiwa kazi nyingine mpaka sasa kama sio kuwa fired kabisa. Kuna mabadiliko makubwa katika muonekano wa gari za Toyota za sasa.

Hatimae 2019 tu design mpya ya RAV 4 ambayo imekaa kiume binafsi nimeielewa sana na naweza kuhamia katika hio brand panapo majaliwa. RAV 4 nilikua sizikubali kabisa licha ya fuel economy ila shepu yake ya kike ilikuwa inanikera hata hazipimpiki yani.

Ichekini 2019 Rav 4 hapa.
Go East go west Landrover discovery 3 and 4 is leading .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WEWE JAMAA VIPI?

HIVI NI GARI GANI HASA INAFAA KUANZIA KWA MTU AMBAE HAJAWAHI KABISA KUMILIKIN GARI?

BINAFSI MIMI SIZIPENDI KABISA GARI ZA TOYOTA NA HATA NIKIONA MTU ANAENDESHA NAPATA KICHEFUCHEFU... VIPI NI MCHUMA UPI UNAFAA KWA NEW-BEE WA MAGARI?I
Hahah kumbe ndio maana kwny mjadala wa nyumba vs gari ulikua unaponda Magari kishenzi kumbe huna,hahah.

Eti nikiona toyota naona kichefuchefu wkt we mwenyewe kapuku.

Kama toyota unaona kichefuchefu nunua ROYCE ROLLS,MASERATI,ALPHA ROMEO,ASTON MARTIN,BENTLEY,BMW(ALPHINA),CHRYSLER,FERRARI,MAYBATCH,PORSHE etc
 
Hapo itategemea na mfuko wako upo level zipi, matawi ya mbuzi au ya twiga kwanza tuanzie hapo. Maana kuna economical cars na luxurious cars kwa European manufacturers given that mjapan anakukera!
Unapoteza muda wako tu kwa huyo jamaa mkuu,mwambie anunue nissan micra ya 1995 ndo size yake hio.
 
Hahah kumbe ndio maana kwny mjadala wa nyumba vs gari ulikua unaponda Magari kishenzi kumbe huna,hahah.

Eti nikiona toyota naona kichefuchefu wkt we mwenyewe kapuku.

Kama toyota unaona kichefuchefu nunua ROYCE ROLLS,MASERATI,ALPHA ROMEO,ASTON MARTIN,BENTLEY,BMW(ALPHINA),CHRYSLER,FERRARI,MAYBATCH,PORSHE etc
tulia wewe acha kunijua jua, ndio sipendi magari ya toyota naona watu wanavyo angaika nayo huku mitaani hata kabla hayajamaliza mwezi tangu yatoke showroom.

ndio maana sikutaka kununua hapo kabla hili nijipange vizuri na sio kununua masalia ya mjapani
 
Cheki ulivyo nyumbu sasa,najua hujui hawa wote ni wajapan:

TOYOTA,NISSAN,SUBARU,MAZDA,HONDA,SUZUKI,MITSUBISHI,LEXUS,INFINITY,ACURA,DAIHATSU,ISUZU etc.

Shida unajua mjapani ni TOYOTA tu hahah.

Tafuta exposure dogo,toka huko mashambani uliko.
 
unwanted hogwash from foremost heavyweight dick-kissing slave ever seen in this forum, put your phone aside and register for adult class altogether with your trans-gender family members to salvage what's left of your miserable existence. Else i will draw the curtain of your malicious soul and leave you discombobulated spiritually.
 
Mazee taka taka za mjapani achana nazo, kuhusu mfuko nimepanga kutenga budget ya 20m-30m hapo.
Kwa hiko kiasi ningeshauri uanzie maisha kwenye bmw x1! Gari zuri economical and head turner.
 
Attachments

  • BF949171_0a5be4.jpg
    BF949171_0a5be4.jpg
    39.6 KB · Views: 39
  • BF949171_aa528d.jpg
    BF949171_aa528d.jpg
    36.8 KB · Views: 39
  • BF949171_91a3d3.jpg
    BF949171_91a3d3.jpg
    42.9 KB · Views: 41
Back
Top Bottom