Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Naomba link ya hiyo Toyota century yenye price tag ya USD 210,500.

Hio hapo

www.batfa.com/new_car_toyota_century.htm

Screenshot_2020-04-27-01-21-39-1.jpg
 
Hii gari price tag yake ni $180k for the sake of time lets leave the price at $210k. I'll counter na hii mercedes-maybach G 650 landaulet v12.
Inajulikana wazi hapo unalinganisha Ultra luxury Cars Co vs Toyota, lkn nimetaka nikuonyeshe tu hata huko Toyota kuna gari hizo za mpk $400,000 kama ilivyo huko maybatch na other luxury brands though it'sn't their niche.
 
Hiyo Toyota century ni exclusive model imetengezwa kwa ajili ya imperial monarchy ya Japan na VIPs kwahiyo its fair kusema ina fall kwenye category ya luxury cars. Ukweli utabaki palepale huwezi kufananisha Toyota na Benz.
 
🤣[emoji28][emoji28] wewe wasema lakini zipo nyingi tu za kufanana nazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
IMG_8467.JPG

Unakuta mtu ana hii bmw lakin anajidanganya kuwa gari yake ina bei kuliko hata crown wakat crown ya mwaka unaofana ina bei zaid

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo Toyota century ni exclusive model imetengezwa kwa ajili ya imperial monarchy ya Japan na VIPs kwahiyo its fair kusema ina fall kwenye category ya luxury cars. Ukweli utabaki palepale huwezi kufananisha Toyota na Benz.

Kwa hio ikitengenezwa kwa ajili ya imperials ndio haiuzwi kwa wateja wengine sio?

Na lexus LFA inayouzwa $400,000 yenyewe ilitengenezwa kwa ajili ya imperial monarch wa wapi?
 
View attachment 1431932
Unakuta mtu ana hii bmw lakin anajidanganya kuwa gari yake ina bei kuliko hata crown wakat crown ya mwaka unaofana ina bei zaid

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ukimleta kwny hizo used bimmer 3/5/7 series na benz C/E/S class hizo kwa price za toyota used za same class,toyota inamkalisha Mjerumani mapema saaana.
 
Ukimleta kwny hizo used bimmer 3/5/7 series na benz C/E/S class hizo kwa price za toyota used za same class,toyota inamkalisha mapema saaana.

Sana yaan nimemletea hiyo kwasabab kashindwa kunipa mfano wa gari za bmw

Tatizo lake alikosea kusema kuwa waTz maskini ndo maana wanamiliki Toyota

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sana yaan nimemletea hiyo kwasabab kashindwa kunipa mfano wa gari za bmw

Tatizo lake alikosea kusema kuwa waTz maskini ndo maana wanamiliki Toyota

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hayo mambo ni ya kukariri tu na anatakiwa ajue Tz hii ukikuta nyumba inamiliki gari za mjerumani lazima ndani ya nyumba hio utakuta na Toyota ipo,ajiulize kwanini.
 
Naweza kusema Toyota ameanza kurudi kwenye mstari wa kutengeneza vyombo vya uhakika baada ya kutoka kutufyatulia uchafu kadhaa kati ya miaka 2012-2017 hapo.

Wale designer wa gari ambazo hazitazamiki nadhani watakuwa wameshapangiwa kazi nyingine mpaka sasa kama sio kuwa fired kabisa. Kuna mabadiliko makubwa katika muonekano wa gari za Toyota za sasa.

Hatimae 2019 tu design mpya ya RAV 4 ambayo imekaa kiume binafsi nimeielewa sana na naweza kuhamia katika hio brand panapo majaliwa. RAV 4 nilikua sizikubali kabisa licha ya fuel economy ila shepu yake ya kike ilikuwa inanikera hata hazipimpiki yani.

Ichekini 2019 Rav 4 hapa.

Sisi tunaonunua used used halafu tunaita mpya tutaanza kuipata lini?
 
Back
Top Bottom