Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

Pumba kabisa
 
Ni wachache sn wanaoelewa mambo ya huyu dada!
 
Wewe hayawani sina huo muda ,wewe mjinga unaevamia comments za wanaume malijali ndio unapaswa kuangalia hayo mambo..

BTW I wrote as per what displayed to her account comments ...
You shallow minded..unaangalia vitu on the surface...unapaswa kuwa analytic (kaa kimya nakufundisha)..unapaswa kuangalia kama hao watu wamepost utumbo kama uliopost wewe au ni sensible comments
 
watz bhana, haya ndipo tulipofika.....


kubali au kataa she is Tanzanian hero right now... kwa nini ?

yeye amekua sauti ya wanyonge, yeye ndiye pekee ana ubavu wa kusimama na kuisema serikali tukufu kwa mabaya/mazuri inayofanya bila woga wowote ... pengine kuwa kwake nje ya nchi kumemsaidia sana....

huyu mtu anapenyezewa habari nyeti sana ndani ya serikali na watu(wa serikali wengine watu wa system) wasiowaaminifu au waliochoka kwa utawala dhalimu.....

huyu mtu ni miongoni mwa watu wanaofatiliwa sana mtandaoni kwa tz, kubali kataa, na inawezekana ni yeye anaefatiliwa zaidi, hapa pia haijalishi namba ya followers alionao, kumbuka kuna wale wanaokuja wanachungulia page yake na kuondoka kuangalia nini kilichojiri nchini....angekua anaweka namba ya insight tungeshangaa watu wanaotembelea page yake, hapa hata viongoz kibao wa serikali wanamfatilia kimya kimya na user name fake ili wasijulikane......

anajua kucheza na mind za watu,anauwezo wa kuitngeneza hoja ya uongo na kuitetea watu wakaamini////

cha muhimu ni kwamba sio kila anachosema ki kweli au uchukulie siriaz, japo vingi anavyosema ni kweli, pia mmbea flani pia mshari, omba asikuchukie... anavyovisema vina ukweli 70%
 
Uko sawa..unamjuwa vema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…