Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunakuwa na dalili hata wewe watu8 akaunt yako ya jf ikianza na ambae sio wewe tutajua tuHivi account kama hizo sio kwamba zinatumiwa na makachero kupata info watakazo...
Unaweza ukawa unadhani unawasiliana na Kimambi kumbe unawasiliana na kitengo pendwa cha ukachero...
Huyu dada NI hazina ya taifa ALINDWEE kwa gharama yoyote hata ikihitajika uhai mtu utoke hasa wa bwana kiparaUsiangalie quantity ya comments..angalia quality...kama una akili thou
Jamaa wa kitengo wana mbinu nyingi sana...kunakuwa na dalili hata wewe watu8 akaunt yako ya jf ikianza na ambae sio wewe tutajua tu
KwelMange alicheza mchezo wa kuiblock account yake ili apoteze kiki ya Wema kurudi CCM ili nililiona kitambo sana na amefanikiwa. wengi waliacha habar za Wema nakuanza kumuongelea Mange kwa vitu tofauti wengi walisema kwamba Mange kanunuliwa na CCm.
Na Jinsi alivo rudi kama ww zuzu uwezi kugundua. Alisema Tarehe 15 nitarudi hewani na kweli amerudi ahahaha Mange.