Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

Hivi account kama hizo sio kwamba zinatumiwa na makachero kupata info watakazo...

Unaweza ukawa unadhani unawasiliana na Kimambi kumbe unawasiliana na kitengo pendwa cha ukachero...
kunakuwa na dalili hata wewe watu8 akaunt yako ya jf ikianza na ambae sio wewe tutajua tu
 
kunakuwa na dalili hata wewe watu8 akaunt yako ya jf ikianza na ambae sio wewe tutajua tu
Jamaa wa kitengo wana mbinu nyingi sana...

Mtandao kama facebook umekuwa ukitumiwa sana na makachero, hivyo hata insta kwa namna nyingine itakuwa tu inatumika...

Ushawahi kujiuliza Mange anafaidika vipi kwa "kupepeta mdomo" insta kwa mambo ya kisiasa...
 
Kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…