Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkTangu jana usiku ndo ilikuwa breaking news kwenye 220
Hata uchambuzi hawaweziAhahaha kutangulia sio kufika naona Azam waliona wamewin sn sasa mwenye picha zake za HD kajibu mapigo
Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi. View attachment 2868685
Wanajisahau kuwa wao ndio walitangulia kwa kila kitu kwenye digital satellite runinga😂😂 Ety kutangulia sio kufika 😂😂
Duuuh! We jamaa unazingua sasa, hicho cha 24000 kimebeba hadi kifurushi cha 10000Kwahiyo kifurushi cha 24000/ kitakuwa na mpira pia? Au ni cha 10000/ tu?
Umesoma tangazo vizuri?Mwanzo walishatangaza coverage zitakuwepo nadhani kupitia TVE...
Naamini KBC, UBC zitaonesha pia...