Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Hao wote ni past tense! Walikuwaga!! Wamalize wasimalize ni kazi bure!!
Ile Wanted ya Dudubaya aliyopewa Sinza asikanyage maisha imefutika au bado? Maana Ayubu Van Damme alimpa kwa kujifanya mbabe nchi ya watu hakufahamu kuwa Sinza ni nchi inayojitegemea... ndani ya nchi kama Zanzibar Ayubu Mkobo