Hatimae Dudubaya na Mr.Nice wamaliza beef

Hatimae Dudubaya na Mr.Nice wamaliza beef

Ningejua kuwa kuna pch nicngefungua nice kanitoa machozi
 
Ile Wanted ya Dudubaya aliyopewa Sinza asikanyage maisha imefutika au bado? Maana Ayubu Van Damme alimpa kwa kujifanya mbabe nchi ya watu hakufahamu kuwa Sinza ni nchi inayojitegemea... ndani ya nchi kama Zanzibar Ayubu Mkobo
NA yule ayubu alivyo mtata lazima Dudu asepe tu!
 
Dah nilimwona Mr Nice Mwaka mpya maeno ya Boma-Mosha dah choka mbaya.
Dudu baya yeye pia ulikuwa mwendo wa viroba na Konyaji hamna jipya.......😛eep:😛eep:
 
Afadhali Dudubaya kafulia but afya yake bado inaridhisha kuliko huyo mwingine aliyefuria kilakitu
 
Sikuwahi kuelewa bifu la hawa jamaa lilisababishwa na nini hasa maana kama mziki waliokuwa wanafanya ni tofauti, nashangaa mtu limtu lilikuwa linaibuka jukwaani na kumtwanga mwenzake. Na vile vipigo vilikuwa kama kimavi kwa Mr. Nice coz ndo alipoanza kuanguka kimziki
 
mr nice alikuwa na zaidi ya billion 1.5 cash kwenye account.

matumiz aliyofanya na wapambe wake siku nzima ata wakienda kunywa gari azizimwi na ac juu full time wawe au wasiwe kwenye gari.

alikula sana maisha na wapambe ofa kwa sana kupora mademu wa watu.

sasa hivi ata laki 3 hana kwa bank.Amechoka sana kiuchumi na afya

Inasikitisha sana. Mastaa wanalo la kujifunza hapo!
 
Sikuwahi kuelewa bifu la hawa jamaa lilisababishwa na nini hasa maana kama mziki waliokuwa wanafanya ni tofauti, nashangaa mtu limtu lilikuwa linaibuka jukwaani na kumtwanga mwenzake. Na vile vipigo vilikuwa kama kimavi kwa Mr. Nice coz ndo alipoanza kuanguka kimziki

Pitia uzi wote huu kuna wana wamemtaja basha wao waliokuwa wanamgombea alikuwa anawafanya wote naona wake zake wamepatana
 
wamefulia ndio Wanamalizia bifu..hahahahahaha choka mbaya hao.
 
Back
Top Bottom