Hatimae Dudubaya na Mr.Nice wamaliza beef

Ningejua kuwa kuna pch nicngefungua nice kanitoa machozi
 
Mbona NICE amegeuka na kuwa UGLY!
 
Ile Wanted ya Dudubaya aliyopewa Sinza asikanyage maisha imefutika au bado? Maana Ayubu Van Damme alimpa kwa kujifanya mbabe nchi ya watu hakufahamu kuwa Sinza ni nchi inayojitegemea... ndani ya nchi kama Zanzibar Ayubu Mkobo
NA yule ayubu alivyo mtata lazima Dudu asepe tu!
 
Dah nilimwona Mr Nice Mwaka mpya maeno ya Boma-Mosha dah choka mbaya.
Dudu baya yeye pia ulikuwa mwendo wa viroba na Konyaji hamna jipya.......😛eep:😛eep:
 
Afadhali Dudubaya kafulia but afya yake bado inaridhisha kuliko huyo mwingine aliyefuria kilakitu
 
Sikuwahi kuelewa bifu la hawa jamaa lilisababishwa na nini hasa maana kama mziki waliokuwa wanafanya ni tofauti, nashangaa mtu limtu lilikuwa linaibuka jukwaani na kumtwanga mwenzake. Na vile vipigo vilikuwa kama kimavi kwa Mr. Nice coz ndo alipoanza kuanguka kimziki
 

Inasikitisha sana. Mastaa wanalo la kujifunza hapo!
 

Pitia uzi wote huu kuna wana wamemtaja basha wao waliokuwa wanamgombea alikuwa anawafanya wote naona wake zake wamepatana
 
wamefulia ndio Wanamalizia bifu..hahahahahaha choka mbaya hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…