Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

hii ndoa itakuwa imefungishwa na gwajima bila shaka
 
Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Itabidi nitete nawe, kuna ka mtiririko flan cha posts nime note kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…