Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,357
Hahaha...kwa nn mkuu?Haya maisha ni kula pombe nenda lala baaasi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...kwa nn mkuu?Haya maisha ni kula pombe nenda lala baaasi...
Wewe izzo: weweDah inamaana huyu dogo kaenda kujitwika single mother!!
Atavuna muda sio mrefu, huenda kijana kufuata pesa tu na visichana vyakeHuyu flora kweli ana tamaa za kimwili
Mkuu mihogo mitamu lkn [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ni aibu kwake biblia imesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe,
lakini pia mtume paulo kashauri ingekuwa bora kama ingewezekana kuishi bila koa au kuolewa Bali kumutumikia Mungu.
Sasa kama ndoa imesumbua kwa nini asingeamua kukaa peke yake na kumutumika Mungu?
Huyo dogo ndo kaolewaKuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
WaaaiHaya maisha ni kula pombe nenda lala baaasi...