Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Huyu dada muuji ana roho ngumu kugawa kama pipi..wakristo hatunaga ndoa 2 hii ni fake.
Na huyu boy kafuata mpunga au kafanywa zoba kwa kulishwa limbwata anaenda kuoa kikongwe mwenye watoto wakati chura wa kumwaga hadi maji ya chumvi wengine wanakosa maji.
Boy haoni kinyaa kwa kuoa scraper??
 
Kutumia ubini wa mume kumeshapitwa na wakati,hayo waliyaweza mama zetu ambao walikuwa wakiolewa ndo basi tena,hata afiwe na mumewe anabaki kulea wanae tu hawazi kuolewa tena.
Sasa ndo nini jana Flora Mbasha leo Flora Kusweka,waache hizi mambo,watumie majina ya baba zao tu
 
Kila LA kheri Flora. Maisha ni yako ma maisha ni wewe. Huwezi kuishi maisha ya wengine maana utakuwa mtumwa wa wengine hadi kufa. Umefanya uamuzi sahihi, songa mbele na endelea kumtukuza Mungu maana kila jambo lina maana yake. Mipango ya Mungu sio ya mwanadamu.
Usiruhusu mtu yeyote awaye kuhoji juu ya maisha yako. It's you and only you.
 
Wewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
 
Sasa jiulize kwanini Huyo Mchungaji akakubali kufungisha hiyo ndoa, kama si Ungumbaru?

Makanisa ya kilokole yasiyokuwa na codes of Conducts, Rules & Regulations, Acts za muda mrefu za Ndoa, Ubatizo, Kipaimara na Sakramenti zingine ambazo hazifanyiwi ammendment kwa maamuzi ya mtu mmoja ni tatizo.

Sasa Mchungaji anakurupuuka na kufanya maamuzi mwenyewe kinyume na Biblia inavyotaka kisa tu kaahidiwa laki 5 na Madam flora. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Njaa mbaya sana.
Biblia imetoa kifungu gani cha utaratibu wa kufungisha ndoa?.Hebu ntajie kifungu.
 
Kutumia ubini wa mume kumeshapitwa na wakati,hayo waliyaweza mama zetu ambao walikuwa wakiolewa ndo basi tena,hata afiwe na mumewe anabaki kulea wanae tu hawazi kuolewa tena.
Sasa ndo nini jana Flora Mbasha leo Flora Kusweka,waache hizi mambo,watumie majina ya baba zao tu
umetudanganya live
sema hupendi kubadili jina
siyo kubadili jina kumepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom