Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hata hivyo shela hairudiwi. Harusi ni moja tu. Labda amefunga kanisa la kwake.
 
Ni aibu kwake biblia imesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe,

lakini pia mtume paulo kashauri ingekuwa bora kama ingewezekana kuishi bila koa au kuolewa Bali kumutumikia Mungu.

Sasa kama ndoa imesumbua kwa nini asingeamua kukaa peke yake na kumutumika Mungu?
 
Hawa wakina daudi sindio ukoo wa Bashite, ndoa ya kikristo ni1 tuu mpaka kufa sasa anaolewa tena halafu anajidai anajua kuimba kumsifu mungu
Mkuu hilo lisikusumbue kuna mungu na Mungu, acha abebe furushi lake kwani Ukristo utaendelea kudumu na misingi yake ni imara bila kujali wangapi wanakengeuka kwa tamaa zao za miili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…