Hatimae jackline wolper afunguka baada ya kubadili dini kwa mara ya pili na kuwa mkristo tena

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Hatimaye mwanadada Jacqueline Wolper ameamua kuweka wazi kilichotokea
mpaka kuamua kubadili Dini yake ya Uislamu na kurudi kwenye ukristo tena. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada huyu wa bongo movies ametoa ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake.

“…mambo mashabiki zangu.sikua na njia nyingne yakulikwepa hili nanaamini kua kwa wale mashabk zangu waislam amtomaind maana akuna mtu wakumsikiliza chin ya hanga zaidi yawazazi so imenipasa kurudi kanisani kwakauli yawazazi wangu.naamin kama aujaolewa ata uwe na miaka mingap bado unatakiwa kua chin ya imaya ya wazazi ata ukifa ujue unazikwaje na mimi ni binadam sijui saa wala dakika.muhm nikuwajuza nakuwaelewesha mashabk zangu stak maswal nawapenda wote…”

Hapo awali iliripotiwa kuwa mwanadada huyu ameamua kuwa mkristo tena baada ya penzi lake lililosababisha abadili dini na kuwa muislamu na jamaa aitwaye 'Dallas' kuvunjika hivi karibuni.

Swali ni je, atabadili dini tena akitokea mwingine wa dini aliyo tofauti na sasa?
 
sasa ivi ndio anawasikiliza wazazi? kwani alivyobadili dini wazazi hawakuwepo! shame on you!
 
Tatizo watoto wa kike wengi wa kikristo wanaongozwa na njaa hawana msimamo na dini yao nimeshuhudia wanawake wengi wa kikristo wakihasi dini yao kwa ajili ya njaa zao..ila ni ngumu sana kumbadili mtoto wa kiIslam dini kama unampenda bora uslimu wewe ufwate ila wao kukufa wewe ni ni ngumu
 

tatizo wa kiislamu akihama ndugu zake wote watamchukia sana!
Si mumpende ila muendelee kuongea nae kwa upendo hadi aone mwenyewe anastahili kurudi?
 

Nina mshkaji wangu kaoa binti wa kiislamu na huyo binti kabadili dini na kawa mkristu tunasali nae kanisani.Sasa huyu utasema alikua na njaa au
 

Hao wa kiislamu wanabadilishwa wengi tuu kuwa wakristo labda kama hujawah kushuhudia
 
Mama yangu mwenyewe alibadili dini akaolewa na dingi na katuzaa watoto 9 ndani ya ndoa ya kikristo na sisi wote tumezaliwa wakristo.
Na baraka walizopata zimewafanya baadhi ya ndugu zake (mama) kubadili dini na kuwa wakristo.
Nadhani ni mipango ya Mungu.
Kusema njaa mabinti wa kiislamu ndo kwenye njaa zaidi manake hata skuli ni taabu kidogo na exposure pia!!
 
wanabadili bana
sema hawajitangazi saaana
 

Uko sahihi kabisa, the same applies to my mama.
 
ngoja nigangamale maduaran,shmo likitema2 lazma nimmendee namimi nimhamishie kwa kakobe!
 

ninaye Mpaka sasa na ananizi kwa kuhudhuria kanisani kuliko mm. sema jingine
 

"...akuna...chini ya hanga..aujaolewa...kua chini ya imaya..ata ukifa.."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…