Hatimae jackline wolper afunguka baada ya kubadili dini kwa mara ya pili na kuwa mkristo tena

Hao wa kiislamu wanabadilishwa wengi tuu kuwa wakristo labda kama hujawah kushuhudia

kwanza hakuna haja ya kuisema dini flan kwa tabia za hawa wadada wasiojielewa!njaa zao na tabia zao za kutokujikubali ndo zinawafanya wawe wanafanya mambo ya ajabu
 
Kuandika kwake shida,ataweza kufikiri sawa?
sisimami uapnde wa ukristo ama uislamu,ila haki itashinda.Tungoje kiama tuue nani alikuwa sahihi na nani hakuwa sahihi.
Mwalimu wangu alikuwa akiniambia kuwa "Wazuri na wema wote wameshakufa"

Tatizo la hawa tunaowaita masupa staa wetu,akili zao zinaongozwa na pesa tu.kwani wakati anahamia uislamu wazi wake hawakuwa na lakusema?ama kwa kuwa alikuwa na pesa?
Kipindi kile alituambia kuwa hata mama yake alibadili dini kwa ajili ya baba yake kwa hiyo hata yeye kubadili dini kwa ajili ya ampendae sio kosa coz ana maamuzi yake binafsi.sasa maamuzi yake binafsi hayafanyi tena kazi?


"Nlikuwepo":bolt:
 
njaa tu inamsumbua anatangatanga tu hajielewi na akitokea mwingine mwenye mihela wa kumhonga gari la bei atabadili dini
 
Anko kambadili Dini dada wa kiislam akabatizwa na kuolewa...haya mambo ya imani sio marahisi kiivyo...kila mtu na nafsi yake
 
sasa ivi ndio anawasikiliza wazazi? kwani alivyobadili dini wazazi hawakuwepo! shame on you!

Alipoona pesa chati ya wazazi ilishuka ghafla na maamuzi yakawa ni ya kwake....baada ya dili kufikia kikomo chati ya wazazi imerudi tena....ikitokea dili ingine wazazi tupa kule...
 
Na alipobadili mara ya kwanza maneno yalikuwa makali hivi?......Haya mambo ni ya kawaida kabisa...sababu ni imani tu ila MUNGU Ni MMOJA....Sidhani kama ni dhambi kuliko zile tunazotenda kila siku.....akijikia kuokoka akaokoke...akijisikia kuwa mhindu yote saaaawa......Uhuru wa kuabudu!!
 
Nina mshkaji wangu kaoa binti wa kiislamu na huyo binti kabadili dini na kawa mkristu tunasali nae kanisani.Sasa huyu utasema alikua na njaa au

Me too, kuna mtu ninamfahamu (she-'Islam') kaolewa na jamaa wa kikristu (mkatoliki)..huyo dada ameshika dini yaani u can't imagine almost muda wote anasali rozari.
 
Acheni azichange jamani maana hata uzee ndo huo coz sura yake ndo mtaji wake.
 
anawaomba msamaha waislam kwani alivyobadili kuwa muislamu aliwaomba msamaha mafans wake wakiristo? hajui alitendalo
 
Tatizo la wasani wetu elimuu akunaa wana fanya tu kisaa wana weza kufanyaa tatizo ni shulee tu sasa ujingaa wote huo akaona hautoshi mpaka kuanika mtandaoni mpkaa magazetini kuna shulee kweli umo kichwani ?
 
Me too, kuna mtu ninamfahamu (she-'Islam') kaolewa na jamaa wa kikristu (mkatoliki)..huyo dada ameshika dini yaani u can't imagine almost muda wote anasali rozari.

Mimi mwenyewe mchumba wangu muislam pure na graduate na bado dini sio inshu kwake atabadili..kinachotazamwa ni makubaliano tu
 

Mkuu umefanyia wapi huu utafiti
 
shida za kuhama dini kumfata mwanaume.......

anatafuta justification tu

Hawa waigizaji wa kike wa Bongo hukimbilia Uislam coz wanajua ndoa ina talaka rasmi tofauti na ndoa za Kikristo.
Hata kuolewa kwao huwa kwa kusikilizia kupiga hela tu, wala hawana ndoa za dhati, hawa wauza K tu.
 
jack wolper sababu zake zina-logic, ukizitafakari kwa kina.

Goshhhhhhhhhh !! Ilham mana yake ni 'ndoto'
ameamka sasa



Aika ruha
:horn:
 
afadhali hata nimejua hivyo, binafsi pamoja na kujiita mwislamu mimi nilijua ni freemanson tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…