Nina mshkaji wangu kaoa binti wa kiislamu na huyo binti kabadili dini na kawa mkristu tunasali nae kanisani.Sasa huyu utasema alikua na njaa au
ruthu: 1:16 Naye Ruthu akasema, Usinisihi nikuache, Nirejee nisifuatane nawe; Maana wewe uendako nitakwenda, Na wewe ukaapo nitakaa. Watu wako watakuwa watu wangu, Na Mungu wako atakuwa Mungu wangu;17 Pale utakapokufa nitakufa nami, Na papo hapo nitazikwa; Bwana anitende vivyo na kuzidi, Ila kufa tu kutatutenga wewe nami.shida za kuhama dini kumfata mwanaume.......
anatafuta justification tu
tatizo wa kiislamu akihama ndugu zake wote watamchukia sana!
Si mumpende ila muendelee kuongea nae kwa upendo hadi aone mwenyewe anastahili kurudi?
huyo ni wa No Money,No Love,hana jipya.
yes, i think katiba ya nchi inamruhusu.haijaweka limit ya mtu kuhamahama diniAkitokea mpaganii akitangaza dau atahama tena.
Bahati mbaya tuu haiwezekani kubadili kabila, angeshsbadili kitaambo.yes, i think katiba ya nchi inamruhusu.haijaweka limit ya mtu kuhamahama dini
Bahati mbaya tuu haiwezekani kubadili kabila, angeshsbadili kitaambo.
Hatimaye mwanadada Jacqueline Wolper ameamua kuweka wazi kilichotokea
mpaka kuamua kubadili Dini yake ya Uislamu na kurudi kwenye ukristo tena. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada huyu wa bongo movies ametoa ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake.
mambo mashabiki zangu.sikua na njia nyingne yakulikwepa hili nanaamini kua kwa wale mashabk zangu waislam amtomaind maana akuna mtu wakumsikiliza chin ya hanga zaidi yawazazi so imenipasa kurudi kanisani kwakauli yawazazi wangu.naamin kama aujaolewa ata uwe na miaka mingap bado unatakiwa kua chin ya imaya ya wazazi ata ukifa ujue unazikwaje na mimi ni binadam sijui saa wala dakika.muhm nikuwajuza nakuwaelewesha mashabk zangu stak maswal nawapenda wote
Hapo awali iliripotiwa kuwa mwanadada huyu ameamua kuwa mkristo tena baada ya penzi lake lililosababisha abadili dini na kuwa muislamu na jamaa aitwaye 'Dallas' kuvunjika hivi karibuni.
Swali ni je, atabadili dini tena akitokea mwingine wa dini aliyo tofauti na sasa?
kila kitu bizness sikuhiziDini biashara sikuhizi....
aishee shwali la mshingi shana hili.mkishaharibikiwa ndo mnawasikiliza wazazi!!!