Hatimae Jide kimeeleweka


naona jide na yeye ameajiri vibaraka wa kumpigia promo JF! Chezea chambi chambi wewe
 
Tulioko mikoani tafadhali msaada wa kuzipata hizo tiketi!
 
Si alisema show hapigi kwasababu ya marehemu, ila nadhani wikiendi hiyo hiyo alikuwa anapiga harusini au?

Alikosa kuuza alipoongeza hao wengine ndio tiketi zinbauza, sasa ni kwamba sio yeye anaeuza ni hao wanaume etc ndio wanauza kwahiyo show si ya yeye kama ilivyokuwa mwanzo ni ya wote sababu wanakuja kupiga nyimba zao zote wanazotaka.

Poleni team jide,
 
Watapigiaje nje wakati hicho kimgahawa kipo kwenye residential area?

Hivi Nyani Ngabu wewe na Jay Dee mlikosana nini? Maana kila thread inayomuhusu JIDE huwa unaiponda, funguka ndugu.
 
go go go go jide big up kiroboto kasim na joseph haule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…