Teh teh teh....shemu wangu kazi anayo[/QUOTE
bado mgomo ndani ya nyumba
shoping dubai inamhusu!!
Kiuno usimtengue best, hazina hiyo mwenzio
yani akirudi sijui nimtengue kiuno tu!!
hawezi kunitesa namna hii!!
Chezeya Passion Lady weye.....Teh teh teh....shemu wangu kazi anayo[/QUOTE
bado mgomo ndani ya nyumba
shoping dubai inamhusu!!
EnjoyyyyyyyyyyyyyBado mwaya, kwa raha zetu
Kiuno usimtengue best, hazina hiyo mwenzio
Chezeya Passion Lady weye.....
wakija ndugu zake
kina Bishanga na mipasho yao
sijui kama nitasalimika!!
Kwa raha zanguEnjoyyyyyyyyyyyyy
Yani unamuogopa Bishanga? Loooh!!!!!!!!!! hana lolote huyo
kale kazee kana mdomo sana
halafu kanajua kuchongea mbaya!!