Hatimae Kaduguda is back yaani sijui itakuwaje?

We chura unaijua katiba ya Simba?Imekuaje basi Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi awe Mohamed Dewji?
Usilolijua ni usiku wa giza.Kama jambo hulijui basi ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya. Au soma ukielewa rudi hapa ujaribu ku comment.
 
piddy hivi wewe ni Mtanzania? mbona uandishi wako unakuwa kama vile key board yako ina mafua?
Kama hujamzoea mpaka leo pole.

Wenzio waliamua mpaka kufundisha....alichoweza kufanikiwa ni kutumia herufi ndogo. Maana zamani alikua anatandika herufi kubwa tu.

Tunao mfaham makosa yake ya uandishi tunarekebisha wenyewe kimyakimya wakati tunasoma.

Kwa uandishi huo wa sasa mwenzio hapo kama ni shule basi amefanikiwa kupata shahada iliyotukuka.
 
We chura unaijua katiba ya Simba?Imekuaje basi Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi awe Mohamed Dewji?
Usilolijua ni usiku wa giza.Kama jambo hulijui basi ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya. Au soma ukielewa rudi hapa ujaribu ku comment.
Usichanganye katiba ya club na undeshaji wa kampuni. Mwenyekiti wa Bodi anaweza kuwa mmiliki mwenye hisa kubwa au mwakilishi wake. Kampuni huendeshwa hivyo. Kwa maana hiyo Mo anaweza akitaka.
 
Wadanganye mbumbumbu wenzio,iwe je last say itoke kwa mtu mwenye minority share?. Wanachama bado wana nguvu
Upo sahihi. Lakini, mimi naamini kuwa, huyo mwekezaji ana hisa zingine zaidi ya 20 kutoka hizo 51,kupitia kwa VIBARAKA WAKE!
 
Katiba ya Simba ndio imeruhusu uanzishwaji wa kampuni. Upande wa klabu utakuwa na wawakilishi 6 na 2 wataochaguliwa na Mwenyekiti.
Upande wa mwekezaji atakuwa na wawakilishi wake 8.
Bodi itakuwa na wajumbe 16 na Mwenyekiti wa bodi Mohamed Dewji.
 
katka maswala ya hisa mwenye sauti ni yule mwenye hisa kubwa mwekezaji ana hisa 49 wanachama wana hisa 51 kama ikitokea kutokuelewana maamuzi yatafanywa kwa wingi wa hisa
Hao wenye 51% hakuna watakaomuunga mkono Mo mwenye 49%!?
 
Hao wenye 51% hakuna watakaomuunga mkono Mo mwenye 49%!?
Swali zuri sana. Wanafikiri kwamba kukiwa na hisa 51% basi ni lazima ufuate hao wenye hisa 51%.
Nangojea majibu ya hao "wataalamu" uchwara.
 
Hao wenye 51% hakuna watakaomuunga mkono Mo mwenye 49%!?
Vikao vya kibiashara huenda kibiashara. Nakuhakikishia wajumbe wale wapo chini ya mwenyekt na sio mo. Kawaida ya hisa za watu wengi kabla ya kikao watu hujengeana misimamo ya kauli moja ,na iwapo jambo litashindkana litarudi mkutano Mkuu ,haki ikkosekana ni kwenda mahakamani ,bmtna sio tff.
 
WEWE unayehakikisha ni nani?
Umejuaje kwamba wajumbe wapo chini ya Mwenyekiti wao?
Kila mjumbe ana uhuru wa kupiga kura katika maamuzi ya bodi.
Unajifanya unajua kitu kuhusu huu mfumo wakati hujui lolote.
Bodi Ina wajumbe 16 na Mwenyekiti wa bodi ni Mo Dewji .Read between the lines.
 
Kama kuna mtu aliyechaguliwa simba asili ni kaduguda ,hatimae wamempitisha ili akawasemee , Mimi nafkir mjumbe wa kwanza kujiuzulu au kufukuzwa ni huyu ,Yaan patachimbika mno?

Nb. Kaduguda nampenda sana japo ni mwanasimba. Mzee wa chapati na makofi.
Japo mi Yanga ila kaduguda namwelewa sana kwakweli
 
Mpelekeni Yanga kwani hata viongozi mnashindwa kuchagua. Mpaka mmewekwa chini ya uangalizi kama watoto wadogo. Ni aibu kubwa.
Ni unafiki kusema mnamkubali.
 
Mpelekeni Yanga kwani hata viongozi mnashindwa kuchagua. Mpaka mmewekwa chini ya uangalizi kama watoto wadogo. Ni aibu kubwa.
Ni unafiki kusema mnamkubali.
Simba tunawasifia MNA jembe nyie hamtaki
 
U
Naomba usitumie neno sera tumia neno kanuni za uendeshaji wa timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…