- Thread starter
- #21
Exactly ,though he deserves the top.Kura zilitosha...that means he has something to offer to our club.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly ,though he deserves the top.Kura zilitosha...that means he has something to offer to our club.
Kama hujamzoea mpaka leo pole.piddy hivi wewe ni Mtanzania? mbona uandishi wako unakuwa kama vile key board yako ina mafua?
Ndiyo maana yake. Hawataweza kumfunika. Atalipuka tu.Yule habebi uchafu
Usichanganye katiba ya club na undeshaji wa kampuni. Mwenyekiti wa Bodi anaweza kuwa mmiliki mwenye hisa kubwa au mwakilishi wake. Kampuni huendeshwa hivyo. Kwa maana hiyo Mo anaweza akitaka.We chura unaijua katiba ya Simba?Imekuaje basi Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi awe Mohamed Dewji?
Usilolijua ni usiku wa giza.Kama jambo hulijui basi ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya. Au soma ukielewa rudi hapa ujaribu ku comment.
Upo sahihi. Lakini, mimi naamini kuwa, huyo mwekezaji ana hisa zingine zaidi ya 20 kutoka hizo 51,kupitia kwa VIBARAKA WAKE!Wadanganye mbumbumbu wenzio,iwe je last say itoke kwa mtu mwenye minority share?. Wanachama bado wana nguvu
Hao wenye 51% hakuna watakaomuunga mkono Mo mwenye 49%!?katka maswala ya hisa mwenye sauti ni yule mwenye hisa kubwa mwekezaji ana hisa 49 wanachama wana hisa 51 kama ikitokea kutokuelewana maamuzi yatafanywa kwa wingi wa hisa
Swali zuri sana. Wanafikiri kwamba kukiwa na hisa 51% basi ni lazima ufuate hao wenye hisa 51%.Hao wenye 51% hakuna watakaomuunga mkono Mo mwenye 49%!?
Yeye huyu akitumika vizuri,simba itafaidkaNamkubali sana huyu jamaa
Vikao vya kibiashara huenda kibiashara. Nakuhakikishia wajumbe wale wapo chini ya mwenyekt na sio mo. Kawaida ya hisa za watu wengi kabla ya kikao watu hujengeana misimamo ya kauli moja ,na iwapo jambo litashindkana litarudi mkutano Mkuu ,haki ikkosekana ni kwenda mahakamani ,bmtna sio tff.Hao wenye 51% hakuna watakaomuunga mkono Mo mwenye 49%!?
Japo mi Yanga ila kaduguda namwelewa sana kwakweliKama kuna mtu aliyechaguliwa simba asili ni kaduguda ,hatimae wamempitisha ili akawasemee , Mimi nafkir mjumbe wa kwanza kujiuzulu au kufukuzwa ni huyu ,Yaan patachimbika mno?
Nb. Kaduguda nampenda sana japo ni mwanasimba. Mzee wa chapati na makofi.
Yaaan hunishindiJapo mi Yanga ila kaduguda namwelewa sana kwakweli
Kanyooka sanaYaaan hunishindi
Simba tunawasifia MNA jembe nyie hamtakiMpelekeni Yanga kwani hata viongozi mnashindwa kuchagua. Mpaka mmewekwa chini ya uangalizi kama watoto wadogo. Ni aibu kubwa.
Ni unafiki kusema mnamkubali.
Naomba usitumie neno sera tumia neno kanuni za uendeshaji wa timu.Unaijua katiba mpya ya Simba?Kuna Bodi ya wakurugenzi. Mwenye last say ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi naye ni mwekezaji.
Kulikuwa na bodi ya wakurugenzi ya dharura .
Baada ya uchaguzi kwa mfumo huo mpya hamna longolongo wa vikao vya majungu.
Sera itakayotengenezwa itakuwa na mipaka kwa kila mjumbe.
Kama ulidhani magumashi yataendelea utaona mwenyewe.