Hatimae kimbunga JOBO chaisha nguvu kabisa

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
The good news ni kwamba kimbunga JOBO kimeisha nguvu kabisa.Picha ya kwanza ni ya jana Ijumaa saa nne asubuhi kama unavyoona kwenye picha za satellite hapo kimbunga kilikuwa na nguvu sana na picha ya pili ni ya leo Jumamosi saa tisa ya usiku na kama unavyoona kimbunga kilipungua nguvu kidogo.

Picha ya tatu ni ya leo Jumamosi saa nne asubuhi ambapo kimbunga kilipungua nguvu sana.Picha ya nne ni ya leo Jumamosi saa kumi na moja jioni hii ambapo unaweza kuona kuwa kimbunga kimeisha nguvu kabisa.

Katika hizo picha unaweza kuona pia siku na muda.

1

2

3

4
 
Duu!! Nilishapata sababu kutorudi nyumbani kwa mke wangu sababu ya kuogopa kimbunga JOBO.

Ndy basi tena mwajuma simpati tena..
 
Asante hayati rais Magufuli kwa kutuachia wosia wa kuacha hofu na kumtegemea Mungu kwa kila jambo.

Kimbunga Jobo na Corona wamekiona cha mtema kuni Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…