Hatimae leo nimeanza mazoezi

Hatimae leo nimeanza mazoezi

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wana jamvi.
Leo nimeanza kutimiza ile adhima yangu ya kuhakikisha heshima haipotei nyumbani kwangu. Nimeanza kwa mazoezi ya kukimbia, nimepiga push up 3, sit up 4 na mzaozi mengine ya viungo. Naomba wataalam wa mazoezi wanipe maelekezo zaidi ili niwe fit kwa muda mfupi. Halafu mazoezi bana yana raha yake nimejilaumu kwanini sikuanza zamani, yaani njiani unakutana na mizigo ya kufa mtu halafu imevaa taiti tu. Yaani nimesafisha macho achilia mbali kujenga mwili na nahidi sitoacha kufanya mazoezi, kumbe watu wanafaidi halafu hata hatuambiani tunaambiana mambo ya kitapeli tu.
Halafu leo nimepita eneo moja nimekuta tangazo wanauza juisi ya mbakola, mwenye uelewa nahii juisi anipe maelekezo, maana mi mtaalam wa kuonja onja, ila siku hizi nimeacha baada y kuingia mkenge kuonja juisi ya kitunguu swaumu, nilijuta siku hiyo nikasikitikia hela yangu
 
Unaweza kufanya mazoezi km lishe yako duni utabaki palepale.hepuka vyakula vya wanga na sukari hipo siku utarudisha feedback
 
Mazoezi unafanyia wapi ili nije kuona hizo neema za Allah...
We amka saa 11 asubuhi kimbia tu barabarani, utakutana na neema hizo, hasa maeneo ya taiafa
 
Toa location mkuu maana wengine tunakutana na makundi ya joging tu
 
Habari wana jamvi.
Leo nimeanza kutimiza ile adhima yangu ya kuhakikisha heshima haipotei nyumbani kwangu. Nimeanza kwa mazoezi ya kukimbia, nimepiga push up 3, sit up 4 na mzaozi mengine ya viungo. Naomba wataalam wa mazoezi wanipe maelekezo zaidi ili niwe fit kwa muda mfupi.Halafu mazoezi bana yana raha yake nimejilaumu kwanini sikuanza zamani, yaani njiani unakutana na mizigo ya kufa mtu halafu imevaa taiti tu. Yaani nimesafisha macho achilia mbali kujenga mwili na nahidi sitoacha kufanya mazoezi, kumbe watu wanafaidi halafu hata hatuambiani tunaambiana mambo ya kitapeli tu.
Halafu leo nimepita eneo moja nimekuta tangazo wanauza juisi ya mbakola, mwenye uelewa nahii juisi anipe maelekezo, maana mi mtaalam wa kuonja onja, ila siku hizi nimeacha baada y kuingia mkenge kuonja juisi ya kitunguu swaumu, nilijuta siku hiyo nikasikitikia hela yangu

[emoji1] [emoji1] [emoji1] aiseeee
 
Habari wana jamvi.
Leo nimeanza kutimiza ile adhima yangu ya kuhakikisha heshima haipotei nyumbani kwangu. Nimeanza kwa mazoezi ya kukimbia, nimepiga push up 3, sit up 4 na mzaozi mengine ya viungo. Naomba wataalam wa mazoezi wanipe maelekezo zaidi ili niwe fit kwa muda mfupi. Halafu mazoezi bana yana raha yake nimejilaumu kwanini sikuanza zamani, yaani njiani unakutana na mizigo ya kufa mtu halafu imevaa taiti tu. Yaani nimesafisha macho achilia mbali kujenga mwili na nahidi sitoacha kufanya mazoezi, kumbe watu wanafaidi halafu hata hatuambiani tunaambiana mambo ya kitapeli tu.
Halafu leo nimepita eneo moja nimekuta tangazo wanauza juisi ya mbakola, mwenye uelewa nahii juisi anipe maelekezo, maana mi mtaalam wa kuonja onja, ila siku hizi nimeacha baada y kuingia mkenge kuonja juisi ya kitunguu swaumu, nilijuta siku hiyo nikasikitikia hela yangu
Hahhhha wee jamaa angalia usanguke unavyoangalia tight
Juice ya kitunguu saumu vipi ulikuendesha nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom