Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Habari wana jamvi.
Leo nimeanza kutimiza ile adhima yangu ya kuhakikisha heshima haipotei nyumbani kwangu. Nimeanza kwa mazoezi ya kukimbia, nimepiga push up 3, sit up 4 na mzaozi mengine ya viungo. Naomba wataalam wa mazoezi wanipe maelekezo zaidi ili niwe fit kwa muda mfupi. Halafu mazoezi bana yana raha yake nimejilaumu kwanini sikuanza zamani, yaani njiani unakutana na mizigo ya kufa mtu halafu imevaa taiti tu. Yaani nimesafisha macho achilia mbali kujenga mwili na nahidi sitoacha kufanya mazoezi, kumbe watu wanafaidi halafu hata hatuambiani tunaambiana mambo ya kitapeli tu.
Halafu leo nimepita eneo moja nimekuta tangazo wanauza juisi ya mbakola, mwenye uelewa nahii juisi anipe maelekezo, maana mi mtaalam wa kuonja onja, ila siku hizi nimeacha baada y kuingia mkenge kuonja juisi ya kitunguu swaumu, nilijuta siku hiyo nikasikitikia hela yangu