Utakuwa kibonge sana weweYaani hizo tu jana asubuhi nimeamka mwaili kama nimepigwa. Ila naongeza kidogo kiodogo.
Something is better than nothing, kwa kuanzia si mbaya ntakuwa naongeza kila siku, hapa najiandaa baada ya lisaa moja lijalo nitakuwa mzigoni
Kuanzia kilo 70Hivi mwili mkubwa ni kuanzia kilo ngapi?
Kama anahaja ya kupungua atumie vegan diet walau siku tano,sita kwa wiki ndani ya mwezi mmoja anakata weight ya kutosha.hizo siku 2/1 zinazobaki unakula unachojiskia.Unaweza kufanya mazoezi km lishe yako duni utabaki palepale.hepuka vyakula vya wanga na sukari hipo siku utarudisha feedback
ebu fafanua zaidi mkuu hapo kwenye "vegan diet" kwa faida ya wengi.Kama anahaja ya kupungua atumie vegan diet walau siku tano,sita kwa wiki ndani ya mwezi mmoja anakata weight ya kutosha.hizo siku 2/1 zinazobaki unakula unachojiskia.
Hazkna ishu diet.ebu fafanua zaidi mkuu hapo kwenye "vegan diet" kwa faida ya wengi.
Vegan diet ni aina ya mlo usio na nyama,maziwa ama chochote kinachohusiana na wanyama.Kwahyo unakula mbogamboga,matunda na nafaka tu.ebu fafanua zaidi mkuu hapo kwenye "vegan diet" kwa faida ya wengi.
Unajua maana ya diet lakini?.Hazkna ishu diet.
Piga tizi pungUza kula kula ovyo bbasi
Hapo nimekusoma mkuu nitajaribu na hiyo, ila samahani hizo mboga mboga unakula na ugali?wali au mboga mboga tupu wiki nzima?Vegan diet ni aina ya mlo usio na nyama,maziwa ama chochote kinachohusiana na wanyama.Kwahyo unakula mbogamboga,matunda na nafaka tu.
Mfano kuanzia Jumatatu mpaka ijumaa,inakuwa mwendo wa matunda na mbogamboga tu waweza ongezea na ndizi na viazi,kisha jumapili inakuwa cheat day unakula unachotaka.ukifanya hivyo wiki mbili tu unakata weight ya kutosha.Hizo siku sita ama tano hakikisha unakula hata milo minne kwa siku,usikae na njaa ila ule mbogamboga,na matunda,najitahidi usitumie mafuta mengi kwenye kupika ikiwezekana milo hyo iwe chukuchuku.na unywe maji mengi.
Kuna nyengine ya tende na maziwa.Mimi binafsi nilifanya hyo.asubuhi nkawa nakunywa glass moja ya maziwa na vipande sita vya tende,mchana hivyo hivyo ma jioni.nakula na matunda na maji mengi.nilifanya kwa siku kumi.nlikata kilo karibia nne.
mboga mboga huwa natengeneza mchemsho na ndizi,viazi,maboga.Kwa mfano mlo wa mchana ndizi mbili au tatu zinatosha kabisa.Uzuri wa ndizi hazinenepeshi kama nafaka (unga wa ugali,ngano,etc).Hapo nimekusoma mkuu nitajaribu na hiyo, ila samahani hizo mboga mboga unakula na ugali?wali au mboga mboga tupu wiki nzima?
Poa nimekuelewa mkuu, ila gemu haisumbui kwa milo kama hiyo?mboga mboga huwa natengeneza mchemsho na ndizi,viazi,maboga.Kwa mfano mlo wa mchana ndizi mbili au tatu zinatosha kabisa.Uzuri wa ndizi hazinenepeshi kama nafaka (unga wa ugali,ngano,etc).
Mwanangu asikwambie mtu ukila machukuchuku unakuwa mwepesi ile mbaya,yani unateleza kama messi.Alafu nimesahau humohumo kwenye mchemsho unatupia na njugu,karanga,korosho etc.Maji kwa wingi tena usinywe maji ya baridi,ya kawaida ama ya uvuguuvugu.Poa nimekuelewa mkuu, ila gemu haisumbui kwa milo kama hiyo?